Recent content by Hhangali Qwaray

  1. H

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

    :a s 465:tuache itikadi za vyama vyetu, hapa rais na washauri wake wamechmsha. Na hakuna pa kujificha, tuombe mungu na tushukuru tuko hivyo watanzania hatupendi shari vinginevyo hapa patageuka kuwa "tunisia"...!:a s 465:
  2. H

    JamiiForums Tanzania Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

    Ni kweli mshahara ni mdogo ukilinganisha na mfumuko wa bei! Serikali; kwa ujumla wake wote serikali yetu haijampa mtumishi wa umma heshima yake kimasilahi, hasa kodi ya mshahara anayokatwa mtumishi kila mwezi, mfanyabiashara mwenye biashara ya mamilioni halipi kwa mwaka. Natamani Serikali yetu...
Back
Top Bottom