Mtu mwenye maoni hayo anaweza kuongoza nchi kweli? Anajua nn kazi za serekali Maskini cdm!!
Mabumba generation
Mtu mwenye maoni hayo anaweza kuongoza nchi kweli? Anajua nn kazi za serekali Maskini cdm!!
Vipi ile mahakama ya kadhi na yenyewe gharama za uendeshaji mtazipata al-queda au al-Shabab?
hiyo tume huru kwa lipi hasa na kwa gharama za nani? imo serikali iendelee na taratibu zake za kawaida kulishughulikia suala hili, ambaye hataridhika aende huko anakoona kunapatikana haki. we have important burning problems kuliko individuals na some isolated events.
hiyo tume huru kwa lipi hasa na kwa gharama za nani? imo serikali iendelee na taratibu zake za kawaida kulishughulikia suala hili, ambaye hataridhika aende huko anakoona kunapatikana haki. we have important burning problems kuliko individuals na some isolated events.
Jk kwa chai na safari utamtaka!
Unajua hapa JF utamjua tu mwana CDM, lazima urushe tusi
approved..kama mlipa kodi huu ni uamuzi sahihi..whether wanawajua wahusika or not.mimi naona hakuna haja hata ya kuwa na tume maana mtesaji wa Dr. Ulimboka anajulikana. Hii ni sawa na kuunda tume kuchunguza kama binadamu anakichwa au hana.
i agree kwamba waliotenda hicho kitendo wanapaswa kusakwa na kufikishwa mbele ya sheria..hakuna mjadala kwene hili. Lakini at the same time i'm perturbed kwamba jamii ya wadanganyika sasa imekuwa too excited na conspiracy theories za uli na madr wakisahau kuwa kuna matatizo mengi na mazito zaidi yanatukabili kama taifa. hii excitement haina tija yeyote maana wanasiasa uchwara ndio fursa yao ya kuzidi kutuvuruga kwa manufaa yao binafsi.Mkuu Abdulhalim, cant you see there MUST be a connection and links from one event to another? Nyerere amesema kuhusu dhambi ya ubaguzi....ni sawa na kula nyama ya mtu.....! Like wise this could start with Uli....and spread to something else, lets find its root and uproot it whenever possible otherwise tutalea saratani mbaya
mabreka haya..jina lako tu linadhihirisha ukilaza ulio nao na hii yote ni athari ya kunywa kahawa na kucheza bao kutwa nzima. POLE YAKO.
Haya ni mawazo yako au ya chama? Halafu huwezagi kuandika maneno machache, we kila ukitokeza lazima uandike gazeti.
Mkuu kumbe chai maofisini ni Tshs15,000,000,000/= ( fifteen billion) Mhe Raisi washauli wake wanamwambia hakuna fedha, heeee hii sasa kazi!!!!Kiongozi wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amelaani vikali kushambuliwa na kuteswa kiongozi wa madaktari nchini Dr Ulimboka Stephen.
Kiongozi huyo amesema hakuna njia zaidi ya kuunda tume huru kuchunguza tukio zima la utekaji kwani Mtuhumiwa namba moja ni serikali na kamwe haiwezi kujichunguza yenyewe. Dr. Slaa amesema vinginevyo matokeo ya tume hiyo ya serikali ambayo si huru hayatatambuliwa wala kukubaliwa na wananchi.
Dr Slaa amesema anashangaa kusikia serikali haina fedha za kuwaongezea madaktari huku katika bajeti ya mwaka huu ikitenga shilingi bilioni 15 kwa ajili ya chai tu.
Source: Mwanahalisi
Wewe mtawala acha story wagonjwa wanakufa lipa madaktari warudi kazini kupunguza vifo, ya Dr Slaa yatakuja baadae 2015!!!!Hivi Slaa, ni mwanaharakati au mwanasiasa? Sasa wewe kazi yako kulalamika tu na kukosoa sema basi Chadema wakichukuwa nchi Madaktari watalipwa milioni 10 kwa mwezi na nyumba pamoja na gari ya kutembelea, Walimu kima cha chini watalipwa Sh800,000 kwa mwezi.
Kumbe Chadema walikuwa nyuma ya huu mgomo Slaa, sema mtawafanyia nini Madaktari mkichukuwa nchi.
Hata kama Chadema watakuwa nyuma ya mgomo huu kuna ubaya gani? Ubaya uko wapi ukimuunga mkono mtu anayedai haki yake?halafu bado mnakataa kuwa Chadema wako nyuma ya huu mgomo.