Recent content by hezroni

  1. H

    Mgombea wa Uholanzi aahidi kufunga misikiti na kuwazuia Waislamu

    Hahahah dah aya mambo ya dini?kila mtu hujiona yy ndo yupo sahihi?sema mi hua najiuliza?kwa nini marais wa kwanza kuchukua nchi toka mkoloni wengi wa iz nchi za afrika walikua wakristo.zimbabwe -Robert mugabe.Tanganyika-jurius Nyerere.Kenya -Jomo kenyata.Zambia-keneth kaunda.msumbiji -Samora...
  2. H

    Kwanini Watanzania wanapenda sana kukaa kwenye seat za madirishani kwenye Mabasi?

    hahahahhh eti anatoa kichwa dirishani hahahah we jamaa unanichekesha
  3. H

    Sababu 6 kwanini sitoenda kuhudhuria mazishi ya mbunge wangu Captain Komba

    Usimhukum binadam mwenzio ndugu yangu kazi ya kuhukum mwachie Mungu hujui labda na ww utakufa baada ya nusu saa ijayo komba ni binadam alikosea kama sisi tunavyokosea na dhambi zake anazijua Mungu tujaribu kumwogopa Mungu kifo ni kazi ya Mikono ya Mungu huwez furahia ivyo binadam mwenzio...
  4. H

    Rais Kikwete aongoza mazishi ya Chifu Mkwawa mkoani Iringa

    Waarabu walikua wanapita kwa watemi, machief ili waweze kupata watumwa kirahisi na ndio maana unaona watemi na machief wote ni waislam kama Mtemi Kimweri,Fundikila,Mkwawa na wengine ndio maana umeyaona hayo.
  5. H

    Tunasubiri tamko la BAKWATA juu ya Mahakama ya kadhi

    waingize mahakama ya makadhi kwenye katiba ya ccm hahahahah we jamaa umenifurahisha
  6. H

    Tunasubiri tamko la BAKWATA juu ya Mahakama ya kadhi

    msaidie uyo chief ata shule izi shule zetu kwa sisi tuliosoma level zote za shule hadi elimu ya juu miaka ya 98 hadi juzi juzi 2001 na moja kama ni olevel au advance au chuo kiukweli kama idadi ya wanafunzi ni 100 waislam walikua hawafiki 25 na ata wasipokuepo hakuna tofauti na utalijua hili...
  7. H

    Tunasubiri tamko la BAKWATA juu ya Mahakama ya kadhi

    wamasai wote wakristo!kuna mmasai muislam sheee.idadi inaongezeka
  8. H

    Tunasubiri tamko la BAKWATA juu ya Mahakama ya kadhi

    source ni bahasha za sadaka makanisani wakristo hua tunakua na bahasha maalum kanisani kila muumini hutoa sadaka kwa bahasha yake na hizo bahasha hua zinakua na (register)kitabu cha mahudhulio na tunajumuiya zetu wakristo nnchi nzima tunajua idadi yetu hatusubili serikali ituhesabu tunajua...
  9. H

    Tunasubiri tamko la BAKWATA juu ya Mahakama ya kadhi

    kila kanisa lina idadi ya waumin wake kama misikiti ilivyo na idadi zao za waumini wao izo data nenda pale CCT dodoma makao makuu utazipata utajua kkkt kunawaumini wangapi na anglicana inawaumini wangapi utajumlisha na ukitoka apo nenda Tecc kwa mzee pengo utapewa idadi yote ya wakatolic na ata...
  10. H

    Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

    marais wa kwanza waliokomboa nchi za afrika.julias nyerere tanzania,mkristo.jomo kenyata kenya,mkristo.milton obote uganda mkristo. keneth kaunda zambia mkristo.samora michael msumbiji mkristo.kwame nkuruma ghana mkristo.nelson mandela SA mkristo.Azikiwe Nigeria mkristo. robert mgabe zimbabwe...
  11. H

    Tunasubiri tamko la BAKWATA juu ya Mahakama ya kadhi

    waislam nchi hii hawafiki ata milion tano wakat waptostant tu wapo milion 25 apo bado catolic ambao ni lundo la watu kuliko hao prostant na walokole & wasabato ukijumlisha utakuta wakristo wapo mil 38 uko unafikili serikal haijui?haiwez kujikaanga kwa ajil ya watu mill 1.5
  12. H

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Aliongea kiarabu pale jana lusinde alipoambiwa mtt wa nje ya ndoa ni haram akapanch kwa kiarabu tupeni tafsri jamaa ni kweli kiarabu kilikua au mazabe maana naona jamaa zake wa ccm walimpa sana shangwe
  13. H

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Huyu mama anaeongea atakua karukwa na akili matatizo ya wabunge wa viti maalum
Back
Top Bottom