Njoo huku mwanza halmashauri ya ilemela, utajionea jinsi mbunge na mkurugenzi wanavyipiga hela. Madiwani wao wanahongwa tu elfu 50 wanabaki kupiga tu makofi. Kwa kifupi awamu hii ndiyo watu wanapiga hela kinoma
Wewe unawaza lockdown tu! Soma umuelewe jamaa. Anachotqka serikali ikubali kabisa kuwa ugonjwa huu upo na unaua watu ili watu wachukue tahadhari, siyo kutuambia eti changamoto ya upumuaji mara phneumonia, watu wanaona kawaida tu na ndipo maambukizi yanapozidi.
Akubali kuwa tatizo lipo. Ahimize wananchi kuchukua tahadhari siyo kujidai eti sana imani kwa Mungu, kuwa na imani bila kuwa na tahadhari ni upumbavu. Ni sawa na kumjaribu Mungu
Pascal, we subiri kuteuliwa ukale bata na maccm wenzako. Ila kutuambia kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki nikutufanya sisi mazuzu. Yaani nyie ccm ndiyo mlikuwa mnauona huo uchaguzi na sisi tulikuwa vipofu? Pascal usinifanye nikakujibu vibaya kwa hasira. Kubali hata Kama ni mccm kuwa hakukuwa na haki...
Kwa tathmini ya harakaharaka inaonesha uchaguzi mwaka huu ni mgumu sana kwa CCM. Siyo kwa sababu CCM haijafanya kitu , la , ila ni kwa sababu raia wa nchi hii wameichoka kabisa. Ndiyo maana wamejaribu kuonesha na kutangaza miradi mingi iliyofanywa na Serikali yao lakini raia hawaelewi.
Kwa...
Mimi najua nyie ccm mnajua kabisa ukweli wa mambo. Lakini kwasababu ya kutetea matumbo yenu mnajitoa ufahamu. Kwasababu mwenye akili timamu hawezi kumpigia kura jpm hata kidogo. Sasa hivi hatawasimamizi wa uchaguzi wanapewa interview na wanaulizwa kama wako tayari kuishindisha ccm kwa njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.