Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
53,229
2,000
Contradiction iko wapi?
Nimehoji suala zima la CCM kujua wao ndio wana support ya watu kabla ya uchaguzi. Hoja yangu ni kwamba uchaguzi wa huru na haki ndio utakaotuambia.

Wewe ukajibu kwamba kuna polls zinazoweza kuonesha CCM wana support. Ukimaanisha kwamba si lazima kusubiri uchaguzi kujua hili.

Nikapinga hoja nzima ya polls za maana katika nchi ambayo watu wamejawa na woga na kuna self censorship kila sehemu. Kuna jamaa aliqnzishq polls za naqna TWAWEZA, zilivyoinesha Magufuli kukubalika kwake kumeanguka, akaanza kuchunguzwa uraia.

Soma hapa Aidan Eyakuze wa TWAWEZA alivyoletewa matatizo na serikali kwa ku conduct polls ambazo serikali haikuzipenda. Halafu unataka kuongea polls?

Aidan Eyakuze in a cage, puts all Africa in a rage | The East African

Ukaachana kabisa na hoja ya polls kama mtu aliyeshindwa kuitetea.

Ukaji contradict kwa kuniambiq mimi nisubiri uchaguzi - wakati mimi ndiye nilianza kusema tutajua CCM ina support ya watu au la baada ya uchaguzi.

Sasa ili kujua CCM inakubalika inabidi tusubiri uchaguzi au hatuhitaji kusubiri uchaguzi?

Unaji contradict.

Na katika kuji contradict huko, hapa mwisho umejikuta unakubaluanq nami kwamba uchaguzi, wa haki na wazi, ndio utakaoamua kama CCM inakubal8ka na wananchi.

Kabla ya uchaguzi ni ramli tupu.
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
22,073
2,000
Ukitaka kumuona Mzungu Robert Amsterdam akiwa Ikulu akimpa maelekezo Lisu namna ya kuongoza nchi na ni rasilimali gani ampatie basi mpe kura Lisu.

Mpe kura Lisu tuishi kwa kuwekeana mipaka ya Majimbo.

Ukitaka kwenda Jimbo jingine mpaka uwe na ruhusa maalum maana wakazi wa huko watakukataa, hawatataka mtu ambaye si mzawa anufaike na rasilimali zao.

Kututenga katika majimbo tutawarahisishia kazi wazungu kututawala na ndio maelekezo kapewa Lisu, watugawe ili watutawale kwa urahisi.
 
Hey

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
628
1,000
Swala ni kwamba, muamko kwa CCM ni wa kipekee mwaka huu 2020 kulinganisha na 2015. Watanzania sio watu wa kujaribu mambo wasio yajua, kwa sasa CDM inawaambia maneno mengi ambayo hata wao CDM hawayaamini.

Mfano, kuruhusu mifugo kuchungwa kwenye hifadhi za mbuga za taifa, au kulinda uhuru wa vyumbani kwa kisingizio cha kuwapa watu uhuru wa faragha. Je ikiwa mtu anamtwanga mkewe kabla ya kumlazimisha tendo la ndoa je, serikali ya CDM itakataa kuingilia kati kwa kuogopa uhuru wa faragha?

Hatujaongele kuweka madini yetu rehani na kuigawa TZ kwa majimbo huku majimbo yasio na rasilima na watu wa kutosha ya kubaki kuwa masikio kutupwa.
Wewe ni zao la elimu duni?
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
30,499
2,000
EkdqfzjXEAIIVZw.jpeg
 
M.Rutabo

Senior Member
Apr 8, 2015
161
500
Naludia kusema mm ninapo kaa mkiiba kura Wala siitaji watu wengi Ila atakaye tangaza matokeo ya uwongo ajiandae.
 
hexacyanoferrate

JF-Expert Member
May 15, 2014
1,225
2,000
Swala ni kwamba, muamko kwa CCM ni wa kipekee mwaka huu 2020 kulinganisha na 2015. Watanzania sio watu wa kujaribu mambo wasio yajua, kwa sasa CDM inawaambia maneno mengi ambayo hata wao CDM hawayaamini.

Mfano, kuruhusu mifugo kuchungwa kwenye hifadhi za mbuga za taifa, au kulinda uhuru wa vyumbani kwa kisingizio cha kuwapa watu uhuru wa faragha. Je ikiwa mtu anamtwanga mkewe kabla ya kumlazimisha tendo la ndoa je, serikali ya CDM itakataa kuingilia kati kwa kuogopa uhuru wa faragha?

Hatujaongele kuweka madini yetu rehani na kuigawa TZ kwa majimbo huku majimbo yasio na rasilima na watu wa kutosha ya kubaki kuwa masikio kutupwa.

Ccm kwakweli vichwani mwenu huwa hamna ubongo.
 
ArtificialIntelligence

JF-Expert Member
May 22, 2020
272
500
Hiyo kauli angeitoa mtu yeyote wa upinzani angekua anahojiwa na NEC sasa hivi kwa nini anataka kuleta vurugu, ila kwa kua ni huyu kalio wa ccm NEC hawajaongea hata neno moja.
CCM ni nyani wamejaa, NEC nayo ni mbuzi tu wamejaa hakuna binadamu pale.
 
Godfrey-K

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
1,754
2,000
Ukitaka kumuona Mzungu Robert Amsterdam akiwa Ikulu akimpa maelekezo Lisu namna ya kuongoza nchi na ni rasilimali gani ampatie basi mpe kura Lisu.

Mpe kura Lisu tuishi kwa kuwekeana mipaka ya Majimbo.

Ukitaka kwenda Jimbo jingine mpaka uwe na ruhusa maalum maana wakazi wa huko watakukataa, hawatataka mtu ambaye si mzawa anufaike na rasilimali zao.

Kututenga katika majimbo tutawarahisishia kazi wazungu kututawala na ndio maelekezo kapewa Lisu, watugawe ili watutawale kwa urahisi.
Ukikataliwa si una kwenu? Una kaa kwenu sasa shida iko wapi?
 
Mimi najua nyie ccm mnajua kabisa ukweli wa mambo. Lakini kwasababu ya kutetea matumbo yenu mnajitoa ufahamu. Kwasababu mwenye akili timamu hawezi kumpigia kura jpm hata kidogo. Sasa hivi hatawasimamizi wa uchaguzi wanapewa interview na wanaulizwa kama wako tayari kuishindisha ccm kwa njia yoyote, anayekataa anaondolewa. Halafu mnasema eti ccm inaumaarufu. Pumbavu sana
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
22,073
2,000
Ukikataliwa si una kwenu? Una kaa kwenu sasa shida iko wapi?
Kuna kitu kwenye katiba wanaita freedom of movement.

Pia ukiwa Raia wa nchi flani unakuwa na inherent right ya kubenefit from natural resources.

Sasa kutenga watu katika majimbo tunaviolate hizo rights.
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
977
1,000
Nimehoji suala zima la CCM kujua wao ndio wana support ya watu kabla ya uchaguzi. Hoja yangu ni kwamba uchaguzi wa huru na haki ndio utakaotuambia.

Wewe ukajibu kwamba kuna polls zinazoweza kuonesha CCM wana support. Ukimaanisha kwamba si lazima kusubiri uchaguzi kujua hili.

Nikapinga hoja nzima ya polls za maana katika nchi ambayo watu wamejawa na woga na kuna self censorship kila sehemu. Kuna jamaa aliqnzishq polls za naqna TWAWEZA, zilivyoinesha Magufuli kukubalika kwake kumeanguka, akaanza kuchunguzwa uraia.

Soma hapa Aidan Eyakuze wa TWAWEZA alivyoletewa matatizo na serikali kwa ku conduct polls ambazo serikali haikuzipenda. Halafu unataka kuongea polls?

Aidan Eyakuze in a cage, puts all Africa in a rage | The East African

Ukaachana kabisa na hoja ya polls kama mtu aliyeshindwa kuitetea.

Ukaji contradict kwa kuniambiq mimi nisubiri uchaguzi - wakati mimi ndiye nilianza kusema tutajua CCM ina support ya watu au la baada ya uchaguzi.

Sasa ili kujua CCM inakubalika inabidi tusubiri uchaguzi au hatuhitaji kusubiri uchaguzi?

Unaji contradict.

Na katika kuji contradict huko, hapa mwisho umejikuta unakubaluanq nami kwamba uchaguzi, wa haki na wazi, ndio utakaoamua kama CCM inakubal8ka na wananchi.

Kabla ya uchaguzi ni ramli tupu.

Umewahi kushiriki poll yoyote na ukatoa maoni ambayo sio ya dhati kwa hofu ya kufuatiliwa? Je, maoni yako ya hapa nayo tuyaamini au tusiyaamini pia?

Hakuna nchi yenye perfect polls, kwa sababu models zinazotumika sio foolproof. Wakati mwingine pollsters wenyewe pia wako biased. Preelection polls za Marekani za 2016 hazikuwahi kuonesha kwamba Trump angeshinda.

Hata hivyo, polls ndiyo njia pekee ya kujaribu kutabiri mambo before the fact. Polls may turn out to be wrong, but that by itself isn’t a strong reason for not using them. If they aren’t consistently wrong, then that’s a different story.

Huwezi kujua Eyakuze alikuwa na issues gani binafsi. Kuna watu wanajua kufanya manipulation na spinning wawapo katika harakati zao za kujilinda. Anaweza kuunganisha vitu viwili ambavyo havina uhusiano wowote. Issue yake inawezekana haikuwa na uhusiano wowote na tafiti alizochapisha. Mimi na wewe pengine hatutakaa tuujue ukweli. Tunachokisoma kwenye hiyo makala sio lazima kiwe kweli.
 
hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,646
2,000
She has spoken a very good point,because it's hard for opposition to defeat CCM . People loves CCM alot and they gonna vote for it no matter what.
Dada nakutafuta unifundishe mwandiko. Huu wangu mimi naona hauko mzuri kama huu wa kwako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom