RIP mkurugenzi. Mojawapo ya makosa ya madereva wa Serikali, ni kudhani kuwa, wakishawasha vile vitaa na vimulimuli inatosha inatosha kumanouvre bila kujali watumiaji wengine. Na kwamba mwendokasi wao watapishwa na kila mtu. RIP dereva
Huku kwetu Mongolandege, Ukonga, mabalozi wa CCM wanaorodhesha watu na namba zao za kadi kupigia kura, pamoja na namba za simu. Wanasema wametumwa na Mbunge Slaa
Ombea bifu alilonalo Lema kwa Mbowe. Tutake tusitake, tukubali tusikubali, hasira aliyonayo Lema kwa Mbowe ni zaidi ya mambo ya siasa. Kuna jambo limejificha. Na Pindi Mbowe akiibuka kidedea, tutaanza kusikia hata siri za ndani. Lema si bure. Kuna jambo ambalo hajapenda kulifunua. Na yaonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.