Recent content by Hess

  1. Hess

    JamiiForums Tanzania Familia ya Gwajima imemkosea Waziri wa Afya, kiungwana wamtafute wamuombe radhi

    Ungeandika kwa kiswahili andiko hili lingekuwa bora sana
  2. Hess

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

    Including YEYE.... Ni tumbo tu linamsumbua
  3. Hess

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

    Huyu kibwetele hayumbi nini... huyu si alikuwa anafufua misukule huyu
  4. Hess

    JamiiForums Tanzania Cuthbert Swai ndani ya mtego wa Lema na Mbowe

    Sabaya unaandika ndefuuuuu haiishi
  5. Hess

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

    Nchi sasa ndo inasimama... huyo ulomtaja mwache apumzike aliko. Alituharibia nchi mno
  6. Hess

    JamiiForums Tanzania Unazitukana hospitali za Magufuli halafu ukiumwa unakimbilia hapo hapo?

    Alitoa hela yake chato kuzijenga?
  7. Hess

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ataenda tena kujitambulisha wapi? Sijasikia akizindua hata mradi mmoja

    Wanalinda legacy [emoji3][emoji3]
  8. Hess

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ataenda tena kujitambulisha wapi? Sijasikia akizindua hata mradi mmoja

    Mnalinda LEGACY eeeh? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  9. Hess

    JamiiForums Tanzania Siku 52: Tanzania bila Magufuli

    Unalinda legacy sio?
  10. Hess

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuwamaliza wapinzani, sasa ni rasmi wasomi wanachelewesha maendeleo

    Sent from your Tecno-N2 That's good
  11. Hess

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ukiongeza mshahara na Madaraja Mei Mosi 2021 watumishi wataandika jina lako kwa Mhuri wa moto kwenye mioyo yao

    Kwani kila mmoja anataka mjini? Wengine tunataka turudi vijijini
  12. Hess

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

    Ulitaka afanyeje? Hopeless commentator
  13. Hess

    JamiiForums Tanzania Rwanda yafanikiwa kupata bandari kavu Kenya

    Wewe jamaa unawaza kimataga sana. Naivasha Kigali 900+ km. Dsm Kigali 1400+ then unaleta porojo za gharama. Afu unasema kwa meli shusha pandisha unasema gharama lakini unatoa option ya Mwanza then meli. Mwanza shusha pakia haipo? Reli umeme haina ghsrama? Mataga mnawaza kimatako sana Sent...
  14. Hess

    JamiiForums Tanzania Tuliokuamini na kukutetea kwenye janga la Corona umetuangusha. Nimepoteza rafiki na ndugu kwa janga la Corona. Serikali chukueni hatua

    Sijui hata kama umeelewa alichoandika barafu. Umetoka mbio kutetea upuuzi kwa jina la lockdown. Umekaririshwa na wewe ukakariri lockdown. Barafu anaongelea ukosefu wa protective gears (PPE) kwa wahudumu unaopelekea nao waambukizwe au wawakwepe wagonjwa. Anaongelea udhaifu wa vituo...
Back
Top Bottom