Familia ya Gwajima imemkosea Waziri wa Afya, kiungwana wamtafute wamuombe radhi

Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi.

Lakini badala yake askofu gwajima amegeuza suala la chanjo kuwa mahubiri yake ya kila siku kanisani kwake huku akihamasisha na watu wengine kutochanjwa.

Si hivyo tu, pia kwenye mahubiri yake, askofu gwajima amekuwa akitumia mahubiri hayo kumshambulia shemeji yake na kuvuruga jitihada anazofanya kuhamasisha wananchi kuchanjwa chanjo ya UVIKO-19.

Kwa sababu ya busara ndogo ya askofu gwajima na kwa sababu ya kusaka umaarufu wa kisiasa amepelekea kuwepo kwa mzozo wa kifamilia na hata kuhatarisha ndoa ya mdogo wake.
Licha ya ndoa ya mdogo wake kuwa mashakani, pia anamharibia shemeji yake kwani mwitiko mdogo wa zoezi la chanjo unatokana na kauli zake anazozitoa akiwa madhabahuni.

Kwenye ibada ya leo, askofu gwajima ndio kaharibu kabisa kwani inaonyesha ameamua kumvunjia heshima na kumdhalilisha shemeji yake wazi wazi kwamba yeye kuolewa na mdogo wake ni hasara kwa familia yao na kwamba wamekuwa hawaelewani kwa sababu yake.

Mbaya zaidi mzee gwajima naye pamoja na uzee wake inaonyesha hana hekima wala busara kwa sababu alipaswa kuwa sehemu ya usuluhishi kwa kumshauri mwanaye 'askofu' kuacha kulumbana na shemeji yake hadharani lakini naye amezidi kukoleza moto kwa kumpa go ahead ya kumdhalilisha dorothy ambaye ni 'mwenga' wake.

Kwakweli kitendo kilichofanywa na askofu gwajima pamoja na mzee wake kumtweza Dorothy ni kitendo cha aibu na kiungwana wamtafute wamuombe radhi hili jambo walimalize kifamilia kwani msingi wa matatizo yote haya bila kupepesa macho ni askofu gwajima.
Dah,kama kweli Dorothy hajui hasara za chanjo,Gwajima amuombe radhi,lakini kama anajua na anashabikia chanjo kimaslahi,Askofu Gwajima hana sababu ya kumuomba msamaha.

Hata hivyo haingii akilini kuwa Daktari anaweza asijue athari za chanjo za Covid, kwa kuwa athari zimewekwa wazi na madaktari uncomromized with independent minds world wide.Doctors' assosiations duniani pia zimeweka bayana ubaya wa chanjo za C-19,how can she possibly not know.Ana nia ovu.

Halafu unasema eti Askofu Gwajima anamharibia shemeji yake kazi?Aisee,kwa hiyo Askofu Gwajima anyamaze watu wadhurike au wafe?Hapana,naungana na Askofu Gwajima,alichofanya ni sahihi kabisa,kama ni kazi na ndoa viharibike.Ndoa na kazi vinaweza kutafutwa tena,kifo kikishatokea is over.Mtu mwenye roho ya kibinadamu hawezi kuvumilia kuona watu wakidungwa hii jab,it is simply unacceptable.
 
Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi.

Lakini badala yake askofu gwajima amegeuza suala la chanjo kuwa mahubiri yake ya kila siku kanisani kwake huku akihamasisha na watu wengine kutochanjwa.

Si hivyo tu, pia kwenye mahubiri yake, askofu gwajima amekuwa akitumia mahubiri hayo kumshambulia shemeji yake na kuvuruga jitihada anazofanya kuhamasisha wananchi kuchanjwa chanjo ya UVIKO-19.

Kwa sababu ya busara ndogo ya askofu gwajima na kwa sababu ya kusaka umaarufu wa kisiasa amepelekea kuwepo kwa mzozo wa kifamilia na hata kuhatarisha ndoa ya mdogo wake.
Licha ya ndoa ya mdogo wake kuwa mashakani, pia anamharibia shemeji yake kwani mwitiko mdogo wa zoezi la chanjo unatokana na kauli zake anazozitoa akiwa madhabahuni.

Kwenye ibada ya leo, askofu gwajima ndio kaharibu kabisa kwani inaonyesha ameamua kumvunjia heshima na kumdhalilisha shemeji yake wazi wazi kwamba yeye kuolewa na mdogo wake ni hasara kwa familia yao na kwamba wamekuwa hawaelewani kwa sababu yake.

Mbaya zaidi mzee gwajima naye pamoja na uzee wake inaonyesha hana hekima wala busara kwa sababu alipaswa kuwa sehemu ya usuluhishi kwa kumshauri mwanaye 'askofu' kuacha kulumbana na shemeji yake hadharani lakini naye amezidi kukoleza moto kwa kumpa go ahead ya kumdhalilisha dorothy ambaye ni 'mwenga' wake.

Kwakweli kitendo kilichofanywa na askofu gwajima pamoja na mzee wake kumtweza Dorothy ni kitendo cha aibu na kiungwana wamtafute wamuombe radhi hili jambo walimalize kifamilia kwani msingi wa matatizo yote haya bila kupepesa macho ni askofu gwajima.
Nasikia yule mzee sio baba wa mume wa Dorothy ila Ni baba yake ye Gwajima.Mkwewe Dorothy alishafariki.
Licha ya kuwa Dorothy kuwa alianza kumdharirisha Gwajima lkn alichofanya Leo Gwajima Ni upuuzi zaidi
 
DRAMA NDIO TATIZO:
1."Wanaochanja wanatamka "NIMECHANJA",hawasumbuliwi.
2."Wasiochanja wakitamka "SITACHANJA",wanasumbuliwa.
3.Tamko la Serikali:"CHANJO NI HIARI"!!

Ukiangalia matamko namba 1-3,yote yameandikwa na yamesikika kwenye vyombo vya habari.
Kwa hiyo ni HIARI "kuchanja"au "kutochanja" !!!,elimu iendelee kutolewa.
 
Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi.

Lakini badala yake askofu gwajima amegeuza suala la chanjo kuwa mahubiri yake ya kila siku kanisani kwake huku akihamasisha na watu wengine kutochanjwa.

Si hivyo tu, pia kwenye mahubiri yake, askofu gwajima amekuwa akitumia mahubiri hayo kumshambulia shemeji yake na kuvuruga jitihada anazofanya kuhamasisha wananchi kuchanjwa chanjo ya UVIKO-19.

Kwa sababu ya busara ndogo ya askofu gwajima na kwa sababu ya kusaka umaarufu wa kisiasa amepelekea kuwepo kwa mzozo wa kifamilia na hata kuhatarisha ndoa ya mdogo wake.
Licha ya ndoa ya mdogo wake kuwa mashakani, pia anamharibia shemeji yake kwani mwitiko mdogo wa zoezi la chanjo unatokana na kauli zake anazozitoa akiwa madhabahuni.

Kwenye ibada ya leo, askofu gwajima ndio kaharibu kabisa kwani inaonyesha ameamua kumvunjia heshima na kumdhalilisha shemeji yake wazi wazi kwamba yeye kuolewa na mdogo wake ni hasara kwa familia yao na kwamba wamekuwa hawaelewani kwa sababu yake.

Mbaya zaidi mzee gwajima naye pamoja na uzee wake inaonyesha hana hekima wala busara kwa sababu alipaswa kuwa sehemu ya usuluhishi kwa kumshauri mwanaye 'askofu' kuacha kulumbana na shemeji yake hadharani lakini naye amezidi kukoleza moto kwa kumpa go ahead ya kumdhalilisha dorothy ambaye ni 'mwenga' wake.

Kwakweli kitendo kilichofanywa na askofu gwajima pamoja na mzee wake kumtweza Dorothy ni kitendo cha aibu na kiungwana wamtafute wamuombe radhi hili jambo walimalize kifamilia kwani msingi wa matatizo yote haya bila kupepesa macho ni askofu gwajima.
vipi yeye amkoseh gwajima eti walimkuta na mrembo
 
Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi.

Ni kama vile wewe hujui usemalo..

Dr Dorothy Gwajima na naibu wake ndiyo walioanza kumkashfu Mch. Gwajima na kutukana zaidi ya watanzania 70% wasiotaka kuchanja chanjo hii kwa usalama wao. Walifikia hatua ya kuwaita hawa 70% wote ni wajinga...!!

HAPANA!. Mlango uleule alioingilia shetani, ndiyo huohuo anaotakiwa kutokea baada ya kufukuzwa...
Lakini badala yake askofu gwajima amegeuza suala la chanjo kuwa mahubiri yake ya kila siku kanisani kwake huku akihamasisha na watu wengine kutochanjwa.

Ofcoz, lazima iwe ni mahubiri ya kila siku kwa sababu ni kuhusu maisha ya watu...

Labda nikuulize, wewe ulitaka ahubiri nini?

Na in case kama ulikuwa hujui, basi ni hivi;

Biblia (Neno la Mungu) yote toka MWANZO hadi UFUNUO ni kuhusu options kwa mwanadamu kuchagua aidha maisha/uhai au kifo/mauti...!!
Si hivyo tu, pia kwenye mahubiri yake, askofu gwajima amekuwa akitumia mahubiri hayo kumshambulia shemeji yake na kuvuruga jitihada anazofanya kuhamasisha wananchi kuchanjwa chanjo ya UVIKO-19.

Nani alianza? Hebu rudi nisome hapo juu👆👆

Mlango alioingilia shetani, anatakiwa afukuzwe na atokee mlango uleule na atokomee anakostahili kuwa...!!
Kwa sababu ya busara ndogo ya askofu gwajima na kwa sababu ya kusaka umaarufu wa kisiasa amepelekea kuwepo kwa mzozo wa kifamilia na hata kuhatarisha ndoa ya mdogo wake.

Gwajima atafute umaarufu kupitia kwa shemejie Dr Dorothy..? Really?

Please, you have to try to be serious at least for a little bit...

Na nadhani kumbe wewe humjui Rev. Josephat Gwajima, siyo bure. Huyu mchungaji Gwajima ni famous DUNIANI na MBINGUNI zaidi ya miaka 20 iliyopita hawezi kuutafuta leo tena kupitia kwa mwanamke possessed aitwaye Dr. Dorothy ...!!
Licha ya ndoa ya mdogo wake kuwa mashakani, pia anamharibia shemeji yake kwani mwitiko mdogo wa zoezi la chanjo unatokana na kauli zake anazozitoa akiwa madhabahuni.

Sijui kama utaelewa. Lakini in spiritual perspective YESU KRISTO anasema hivi;

Mathayo 10: 34 - 39

"..Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani: la! Sikuja kuleta amani, bali upanga. Kwa maana nalikuja KUMFITINI mtu na babaye, binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu; na ADUI ZA MTU NI WALE WA NYUMBANI MWAKE. Ampendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili; wala apendaye maana au binti kuliko mimi, hastahili. Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili. Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza; naye mwenye kuipoteza nafsi yake, ataiona...."

Haya yalishapangwa na lazima yatokee kabla ya ule mwisho Wa dunia hii haujafika. Mtazame aliyesimama upande wa Mungu muumba, msikilize na mfuate huyo...!!
Kwenye ibada ya leo, askofu gwajima ndio kaharibu kabisa kwani inaonyesha ameamua kumvunjia heshima na kumdhalilisha shemeji yake wazi wazi kwamba yeye kuolewa na mdogo wake ni hasara kwa familia yao na kwamba wamekuwa hawaelewani kwa sababu yake.

Ulitaka aseme nini iwapo kweli ndivyo alivyo? Unatetea nini hasa wewe? Tangu lini GIZA na NURU vikapatana? Palipo na NURU, basi lazima GIZA likimbie...

Soma tena kwa makini biblia yako MATHAYO 10: 34 - 39 na uelewe...
Mbaya zaidi mzee gwajima naye pamoja na uzee wake inaonyesha hana hekima wala busara kwa sababu alipaswa kuwa sehemu ya usuluhishi kwa kumshauri mwanaye 'askofu' kuacha kulumbana na shemeji yake hadharani lakini naye amezidi kukoleza moto kwa kumpa go ahead ya kumdhalilisha dorothy ambaye ni 'mwenga' wake.

Hakuna SULUHU kati ya SHETANI na MUNGU YEHOVA. Hakuna ushirika kati ya DHAMBI na HAKI. Hakuna ushirika kati ya NURU na GIZA...!!!

Soma tena NATHAYO 10: 34 - 39 na uelewe...

Nakuhakikishia jambo moja kutokea soon or later, kwamba, Dr. Dorothy Gwajima ndiyo kwa heri katika uwanja wa siasa na utawala wa nchi hii....

Yeye ndiye aliyekosea kutaka kumtumia mtumishi wa Mungu kama stepping stone kwenye political manoeuvre za nchi hii ili zimnufaishe yeye kimwili...!
Kwakweli kitendo kilichofanywa na askofu gwajima pamoja na mzee wake kumtweza Dorothy ni kitendo cha aibu na kiungwana wamtafute wamuombe radhi hili jambo walimalize kifamilia kwani msingi wa matatizo yote haya bila kupepesa macho ni askofu gwajima.
Mtu hawezi kujitweza mwenyewe halafu uanze kulaumu wengine na kujaribu kuwatwisha mzigo wa dhambi ya ujinga wako...!!

Mjadala ulikuwa ni chanjo. Huyu waziri, badala ya kujibu hoja tu zinazohusu chanjo, yeye ndiye akaanza kukosa HEKIMA na BUSARA kwa kuanza kumshambulia personal life ya shemejie Mch. Gwajima kwa kashfa za uongo. Ulitegemea anyamaziwe tu na asijibiwe..?

Nasema tena, mwiba ulipoingilia ndipo unapotokea. Vivyo hivyo, mlango alioingilia shetani ndiyo huohuo atatokea...!!
 
Kwa vyovyote iwavyo, kampeni ya serikali ya kuchanja wananchi uviko-19 Kama ilivyopangwa inavurugwa.serikali ichukue hatua za haraka kudhibiti hali hii,vinginevyo zoezi hili litachukua muda mrefu kutokemeza uviko -19, Kama walivyotokeza nchi za Ulaya,
tunaona watu wanafurika kwenye
viwanja vya Mpira baada ya asilimia kubwa ya watu kuchanja chanjo ya uviko-19 . Wataalaam wa afya wameeleza kuwa utafiti wa gonjwa hili ulianza zamani,lakini kirusi hiki kimekuwa kinajibadilisha,kwa hiyo watafiti wamekuwa wanaendelea na utafiti kila siku ,ndiyo maana chanjo imepatikana mapema , kwa hiyo serikali haiwezi kung'ang'ania na msimamo wa awali ni lazima ibadilike kuendana na wakati ili kuokoa maisha ya watu wake ambao walikuwa wanaiomba serikali kuleta chanjo,lakini kwa wale ambao hawataki kuchanja,busara ni kutochanja na kukaa kimya kwa maana hulaziishwi kuchanja.
 
Ngoma imepata mchezaji... Shemeji mchambaji, askofu mchambaji... Weka ugoko niweke jiwe... Game ndo kwanza linazidi kunoga... Niongezeeni popcorn asee.
 
Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi.

Lakini badala yake askofu gwajima amegeuza suala la chanjo kuwa mahubiri yake ya kila siku kanisani kwake huku akihamasisha na watu wengine kutochanjwa.

Si hivyo tu, pia kwenye mahubiri yake, askofu gwajima amekuwa akitumia mahubiri hayo kumshambulia shemeji yake na kuvuruga jitihada anazofanya kuhamasisha wananchi kuchanjwa chanjo ya UVIKO-19.

Kwa sababu ya busara ndogo ya askofu gwajima na kwa sababu ya kusaka umaarufu wa kisiasa amepelekea kuwepo kwa mzozo wa kifamilia na hata kuhatarisha ndoa ya mdogo wake.
Licha ya ndoa ya mdogo wake kuwa mashakani, pia anamharibia shemeji yake kwani mwitiko mdogo wa zoezi la chanjo unatokana na kauli zake anazozitoa akiwa madhabahuni.

Kwenye ibada ya leo, askofu gwajima ndio kaharibu kabisa kwani inaonyesha ameamua kumvunjia heshima na kumdhalilisha shemeji yake wazi wazi kwamba yeye kuolewa na mdogo wake ni hasara kwa familia yao na kwamba wamekuwa hawaelewani kwa sababu yake.

Mbaya zaidi mzee gwajima naye pamoja na uzee wake inaonyesha hana hekima wala busara kwa sababu alipaswa kuwa sehemu ya usuluhishi kwa kumshauri mwanaye 'askofu' kuacha kulumbana na shemeji yake hadharani lakini naye amezidi kukoleza moto kwa kumpa go ahead ya kumdhalilisha dorothy ambaye ni 'mwenga' wake.

Kwakweli kitendo kilichofanywa na askofu gwajima p
Apana, chanzo Cha tatizo Ni waziri mwenyewe kwa kuleta personal issues kwenye mambo ya korona, alitakiwa amjibu askofu kwa mambo ya korona na si kuleta mambo ya mkono wa baunsa. Nk.
 
Tell her that she is walking at the edge of Thim,on top of that,her days are numbered,I have never seen a minister holding a special ministry like that one hence behaving like a minister of comedy
Ungeandika kwa kiswahili andiko hili lingekuwa bora sana
 
Nilisema hapa wakati wa Uchaguzi kuwa "Askofu" Gwajima alikuwa ni mtu hasara sana kupewa ubunge. Kazi ya ubunge inahitaji mtu msikivu na mwenye busara siyo mtu tapeli kama Gwajima. Huyu inabidi TRA imchunguze kuhusu mapato na matumizi ya sadaka za kanisa lake, halafu sheria ichukue mkondo wake kwa kuanzia hapo.
 
Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi.

Lakini badala yake askofu gwajima amegeuza suala la chanjo kuwa mahubiri yake ya kila siku kanisani kwake huku akihamasisha na watu wengine kutochanjwa.

Si hivyo tu, pia kwenye mahubiri yake, askofu gwajima amekuwa akitumia mahubiri hayo kumshambulia shemeji yake na kuvuruga jitihada anazofanya kuhamasisha wananchi kuchanjwa chanjo ya UVIKO-19.

Kwa sababu ya busara ndogo ya askofu gwajima na kwa sababu ya kusaka umaarufu wa kisiasa amepelekea kuwepo kwa mzozo wa kifamilia na hata kuhatarisha ndoa ya mdogo wake.
Licha ya ndoa ya mdogo wake kuwa mashakani, pia anamharibia shemeji yake kwani mwitiko mdogo wa zoezi la chanjo unatokana na kauli zake anazozitoa akiwa madhabahuni.

Kwenye ibada ya leo, askofu gwajima ndio kaharibu kabisa kwani inaonyesha ameamua kumvunjia heshima na kumdhalilisha shemeji yake wazi wazi kwamba yeye kuolewa na mdogo wake ni hasara kwa familia yao na kwamba wamekuwa hawaelewani kwa sababu yake.

Mbaya zaidi mzee gwajima naye pamoja na uzee wake inaonyesha hana hekima wala busara kwa sababu alipaswa kuwa sehemu ya usuluhishi kwa kumshauri mwanaye 'askofu' kuacha kulumbana na shemeji yake hadharani lakini naye amezidi kukoleza moto kwa kumpa go ahead ya kumdhalilisha dorothy ambaye ni 'mwenga' wake.

Kwakweli kitendo kilichofanywa na askofu gwajima pamoja na mzee wake kumtweza Dorothy ni kitendo cha aibu na kiungwana wamtafute wamuombe radhi hili jambo walimalize kifamilia kwani msingi wa matatizo yote haya bila kupepesa macho ni askofu gwajima.

Gwajigirl alimsema Gwajiboy,

-Mkono wa Baunsa wakati akiongelea kilichodhaniwa ni video ya Ngono ya Gwajiboy.

-Alimsema kuwa majina hayaeleweki mara Rashid mara Josephat.

-Nadhani alimuita Kibwetere pia.

Alikuwa na adabu kwa ndugu wa Mumewe unadhani? kisa kaikataa chanjo?

Nani hapo alianza vita binafsi
 
Chanjo ni hiari, Gwajima Mchungaji kaamua kuhamasisha kutochanjwa, Gwajima Waziri anaamasisha kuchangwa. Kila mtu apambane kwe ye uwanja wake
 
Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi.

Lakini badala yake askofu gwajima amegeuza suala la chanjo kuwa mahubiri yake ya kila siku kanisani kwake huku akihamasisha na watu wengine kutochanjwa.

Si hivyo tu, pia kwenye mahubiri yake, askofu gwajima amekuwa akitumia mahubiri hayo kumshambulia shemeji yake na kuvuruga jitihada anazofanya kuhamasisha wananchi kuchanjwa chanjo ya UVIKO-19.

Kwa sababu ya busara ndogo ya askofu gwajima na kwa sababu ya kusaka umaarufu wa kisiasa amepelekea kuwepo kwa mzozo wa kifamilia na hata kuhatarisha ndoa ya mdogo wake.
Licha ya ndoa ya mdogo wake kuwa mashakani, pia anamharibia shemeji yake kwani mwitiko mdogo wa zoezi la chanjo unatokana na kauli zake anazozitoa akiwa madhabahuni.

Kwenye ibada ya leo, askofu gwajima ndio kaharibu kabisa kwani inaonyesha ameamua kumvunjia heshima na kumdhalilisha shemeji yake wazi wazi kwamba yeye kuolewa na mdogo wake ni hasara kwa familia yao na kwamba wamekuwa hawaelewani kwa sababu yake.

Mbaya zaidi mzee gwajima naye pamoja na uzee wake inaonyesha hana hekima wala busara kwa sababu alipaswa kuwa sehemu ya usuluhishi kwa kumshauri mwanaye 'askofu' kuacha kulumbana na shemeji yake hadharani lakini naye amezidi kukoleza moto kwa kumpa go ahead ya kumdhalilisha dorothy ambaye ni 'mwenga' wake.

Kwakweli kitendo kilichofanywa na askofu gwajima pamoja na mzee wake kumtweza Dorothy ni kitendo cha aibu na kiungwana wamtafute wamuombe radhi hili jambo walimalize kifamilia kwani msingi wa matatizo yote haya bila kupepesa macho ni askofu gwajima.
Nimependa hii ya kufichua asili yao kuwa ni wahutu toka Burundi. Gwajima ni kama ana uchizi
 
Nilisema hapa wakati wa Uchaguzi kuwa "Askofu" Gwajima alikuwa ni mtu hasara sana kupewa ubunge. Kazi ya ubunge inahitaji mtu msikivu na mwenye busara siyo mtu tapeli kama Gwajima. Huyu inabidi TRA imchunguze kuhusu mapato na matumizi ya sadaka za kanisa lake, halafu sheria ichukue mkondo wake kwa kuanzia hapo.
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? Hoja ya chanjo ijibiwe na TRA sio? Uzuri life ni cycle kesho akifanyiwa wewe kisa mmekinzana mtazamo na mamlaka usije kulia
 
TRA itatusaidia kutambua credility ya Gwajima kama kiongozi wa kanisa; anatumia kanisa lake kutanganza hoja ambazo hana uwezo wa kuziprove- ukwerli wa kiongozi yeyote wa dini hupimwa kwa jinsi anavyotumia sadaka.

Kuhusu hoja ya chanjo tunawasikiliza madaktari na wataalam wa wizara ya afya! Mpaka leo watoto wanapozaliwa Tanzania kuchanjwa BCG, mbaona hamjazuia BCG isidungwe kwa watoto hao wenye umri wa wiki moja tu wasio na uwezo wa kujiamulia wenyewe? Unafiki mtupu huo.
 
Back
Top Bottom