Mimi ni Clinical Officer, mkuu lakini concern yangu ni kuwa wilaya ya Nkasi inapuuza sana maombi yaliyo katika mfumo wa ESS , wanayatazama tu , kazi Yao kubwa nikuhimiza ujazaji wa majukumu, pia wilaya ya Nkasi imekaa kirushwa rushwa hivi maana mtu akifanikiwa kutoka ukiuliza anakuambia jipange...