Recent content by herrykuwe

  1. H

    Chonde Chonde: kama huna akili usianzishe vita

    Yaani Kaafir awe na akili kuwazidi Watu wa Tauhidi? Kwani ukisikia mwenye akili unaelewaje? Maana hata MUUMBA kuna watu amewaita wenye akili,( Wenye Kufikiri) anawajua ni watu gani hao?
  2. H

    PreGE2025 Tundu Lissu ndiye Rais ajaye baada ya Rais Samia

    Kila ninapomtazama TAL na aliyoyapitia na anayoyapitia sasa hivi naona miaka si mingi anakuja kuwa President wa Jamhuri hii . Sina tangible reasons msije kunikaba lakini kuna vitu katika dunia hutokea tu ili kuwaonesha wanadamu kuwa yupo mpangaji wa mambo tofauti na vile tunavyojiaminisha kuwa...
  3. H

    Unaweza kudhania hapa ni mmoja wa mtaa uliopo Rangi tatu ila hapa ni Paris

    Kilichoniaminisha kuwa huenda hapo ni Paris ni huyo njiwa tu. ana amani mwenyewe
  4. H

    Huwezi kutenganisha Uislam na Uarabu wakati uislam Mwanzilishi na Muenezaji wa dini hiyo alikuwa Mwarabu

    Mkuu inapendeza sana unapotaka kuandika chochote hasa kile ambacho huna ufahamu nacho UKAFANYA ITAFITI JAPO MDOGO. Unless kama umekusudia kupotosha . Ashakum si matusi -Haifai kumjibu Mjinga lakin kwa faida ya wasomaji ipo haja ya kuweka sawa jambo hili. Na Nitajielekeza katika point zako...
  5. H

    Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

    Irejeshee akili hadhi yake ili uweze kujibu sawasawa.
  6. H

    Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

    Uislam si sawa na Ukafiri na ndio maana sisi kila mmoja ni lazma aisome Dini yake na aijue na amjue mola wake na Mtume wake. Sasa Katika dini hii hata leo hii MUFT anajitokeza na kulizungumzia jambo lolote ,kwanza 1. Anajua kuwa huenda katika hadhira iliyopo kuna huenda ½ yao wana elimu kumzid...
  7. H

    Watanzania tususe kupanda mabasi ya Shabbiby wa Gairo

    Huna namna nyingine Mkuu ya Kutushauri? Kwahiyo Mtu akitoa maoni yake tayar tususie bishara zake? Njia ya Dom kumsusia Shabiby Ni sawa kususia bidhaa Za Azam ,utaishije?
  8. H

    Israel yaanza kufunga Balozi zake kama tahadhari ya kushambuliwa na Iran

    Tulia Mkuu na ondoa Munkari ,haijadiliwi dini hapa, Kama huwezi hizi mambo waachie wanaume
  9. H

    Israel yaanza kufunga Balozi zake kama tahadhari ya kushambuliwa na Iran

    US ndio anaitaka Tehran, Israel hana ubavu wa kupambana na Hezbollah ndio aimudu Iran? Hezbollah na Houth tu amemudu kwa Backup kutoka Washington Umeingia cha Mabubu
  10. H

    Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

    Bora wakatae kabisa, kwanza ukipata dharura na ukatakiwa kujifungua kwa upasuaji na ukakosa 150k basi upo hatarini kupoteza uhai wa Mama na Mtoto kama ilivyotokea mara 2 miezi kadhaa nyuma kanda ya ziwa na Tanga . Utaratibu wa Wanaume kuingia Leba si katika tamaduni za Kiislam
  11. H

    Israel yaanza kufunga Balozi zake kama tahadhari ya kushambuliwa na Iran

    Kwanini umuite muongo bila kumtaka athibitishe? Maana akitupatia trusted source wewe ndio utageuka kuwa muongo!
  12. H

    Israel yaanza kufunga Balozi zake kama tahadhari ya kushambuliwa na Iran

    Dunia inakosa utulivu kwasababu yao, kuna Majamaa yanaitwa THE LORD ROTHSCHILD ,Familia hii ndio chanzo cha kila Shari uionayo na kuisikia katika ardhi hii Wafautilie
  13. H

    Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje

    Maulid ikiwa atakuwa na utitiri wa ndoa basi ni nne tu, ama hayo mengine ikiwa utatakiwa kuthibitisha utaweza? Au nawe wataka ndoa na Maulid? Na uzuri wa Kitenge hajaweka sana maisha yake binafsi hasa ya kifamilia mitandaoni..
Back
Top Bottom