Recent content by Hero_Andrei_27

  1. Hero_Andrei_27

    Je naweza kuchaguliwa diploma in clinical medicine?

    Ninasoma diploma ya Ufamasia ila Sina physics. Nina D math, C Chem, C biol. je naweza kubadilisha kozi kwa ngazi ya degree kuwa clinical officer au nurse?
  2. Hero_Andrei_27

    Kozi ya Ufamasia

    Je inawezwkana kutoka pharmacy kwenda udaktari?
  3. Hero_Andrei_27

    Upotoshwaji unaoendelea kufanywa na baadhi ya Wafamasia kumpotosha Waziri wa Afya

    Je famasia anaweza kuwa daktari akisoma degree?
  4. Hero_Andrei_27

    Kwa ufaulu huu, je anaweza kusoma degree pharmacy na kupata mkopo asilimia 100%?

    Nimemaliza diploma pharmacy... Lakini form 4 physics Nina F. je naweza kosoma degree. Kama nimefanya vizuri matokeo ya chuo..
  5. Hero_Andrei_27

    Je unaweza kutoka kwenye unesi kwenda kusomea udaktari?

    Vipi kuhusu phamasia. Je anaweza kuwa daktari akiendelea kusoma degree?
  6. Hero_Andrei_27

    Msaada kuhusu Shahada ya Ufamasia

    I Amana cbg hawezi kusoma kozi za afya kama pharmacy, nurse,. Or
  7. Hero_Andrei_27

    Msaada kuhusu Shahada ya Ufamasia

    Na pia nimepiga diploma mfano. Eti nikienda degree ni lazima kuwa na credit ya physics ili niendeLee?
  8. Hero_Andrei_27

    Msaada kuhusu Shahada ya Ufamasia

    Sijui. Ndo ipi? Mm bado nasoma
  9. Hero_Andrei_27

    Msaada kuhusu Shahada ya Ufamasia

    Naomba kuuliza. Je nimemaliza diploma ya ufamasia. Ili niende degree niwe na vigezo gani?
  10. Hero_Andrei_27

    Tujuzane vigezo vya kutoka Diploma kwenda degree kwa kozi tofauti.

    Naomba kuuliza. Kwa mfano mtu kasoma diploma ya ufamasia. Je kwa ngazi ya degree anatakiwa awe na vigezo gani?
Back
Top Bottom