Recent content by hermanm

  1. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bei za mayai ya kienyeji,kuku, na asali safi (Dar,Morogoro na Dodoma)

    200 kununua bidhaa gani? Kuku wa kienyeji?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kawaida Dar

    @ mama joe... Una specific contacts za mbezi au gopa? Kama unazo plz share na mimi ningependa kujua. Je uko kumepimwa?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji nimda gani hutumia hadi kufikia kuliwa

    Jamani mi nataka kujua kama kuna mtu Ana contacts za kupata kuku wa kienyeji wa jumla.. Na mimi niko interested kuanza kuuza kuku wa kienyeji kwa rejareja
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 200,000/=

    Kaka unaongelea kuku wa kienyeji? Una contact zozote za kupata kuku wa kienyeji ????
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji

    Habari za Leo wadau.. Nafikiria kuanza kuuza kuku wa kienyeji, je kuna mtu anafahamu wapi naweza kununua kuku wa kienyeji kwa jumla kwa bei ya chini ili niweze kuja kuuza rejareja dar?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nauza hizi pair mbili za viatu

    No sina Air Force one! But unaweza kuniagizia nikaketea. Ni PM
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nauza hizi pair mbili za viatu

    Hakuna tabu mi ninakusubiria
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nauza hizi pair mbili za viatu

    The Dealer mimekuelewa Mkuu go ahead nisaidie Mkuu mi bora vinunuliwe
  9. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta king'amuzi

    King'amuzi maana yake nini?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nauza hizi pair mbili za viatu

    Hi guys! Wanajamii ninauza hizi pair mbili za viatu laki na nusu kila pair maelewano kidogo yapo. Viatu viko dar kwa any serious buyer tafadhani ni PM asap Viatu vya brown ni size 9U.S na black ni 9.5 U.S Asanteni
  11. H

    JamiiForums Tanzania Tangazo kwa Umma juu ya uuzaji wa viwanja katika eneo la Golani, kata ya Kimbiji

    Jamani kuna yeyote aliyefuatilua hivi viwanja? Mama yangu ameenda leo jumatano April 3rd na kuambiwa kuwa fomu zote zimeshaisha. Sijuini kweli au ndio utapeli tu... Mwenye info zaidi naombeni maelezo plz
  12. H

    JamiiForums Tanzania Jifunze ms excel for free

    Jamani samahanini wana jamii siku jua kama hii site haifunguki kila sehemu. Ila kuna site nyingine inaitwa coursera.org very good site. Haina excel but Ina different classes from American university na ni bure. Some classes wanatoa mpaka certificate Asanteni
  13. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Kristian habari mzee! Kuanzia tarehe 25 April natarajia mzigo wangu ufike dar from marekani. Nina mabox mawili moja 20x20x20 na jingine ni 24x24x24 yamejaa nguo za watoto, wanawake na kidogo za kiume. Zote ni mpya kabisaaaa. Nataka mtu wa kuzinunua jumla kama unahitaji nistue tafadhani. Na kama...
  14. H

    JamiiForums Tanzania MSAADA Kwa anaejua Microft Office Excel.

    learningexpresslibrary.com is the very good site ya kujifunza excel for free ndugu yangu!!! Hope it will help
  15. H

    JamiiForums Tanzania Why Current, Savings or Fixed Deposit with International Commercial Bank. (ICB)-Karibuni

    @ sun wu! Ni kweli kaka Sijui kwa nini hawa jamaa wana haji service fee each month! I think watawavutia sanaaa wateja wakiwa na free checking and saving account. Na ni kweli their charges ni kubwa kuliko interest. stanbic ni aje we zangu! Nafikiri kuhamia uko...... Crdb wamenishinda
Back
Top Bottom