Recent content by Herbivore

  1. Herbivore

    KIRIKUU IKO SOKONI

    Wadau, kuna Kirikuu inauzwa bado ipo kwenye hali nzuri sana haijatumika ipasavyo huku mtaani. Model: Daihatsu (Hijet) Year: 1997 Engine Capacity: 850 Gross Weight: 1000KG Location: Mikocheni Price: 6.8M Tsh. Vibali vyote vipo,Njoo na Fundi wako. Mawasiliano: 0621 655513
  2. Herbivore

    Nafasi ya kazi za muda uwanja wa ndege JNIA

    Ni kweli hiyo Email toka juzi nikituma maombi yanakuwa rejected naambiwa na Google Mail kuwa hiyo email ina technical errors. So ukituma mzigo hauendi. Nikajaribu kufuatilia mawasiliano yao kwenye official website ya Uwanja,kuna hiyo hiyo Email hata haijakosewa ila haipokei emails. Ila email...
  3. Herbivore

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu umepitia takwimu za timu husika vizuri? Maana naona odds zimeshiba sana.
  4. Herbivore

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Over 2.5 [emoji736] X2 [emoji736] Ila dakika za jioni saana
  5. Herbivore

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nina shida ya Odds 10 Pdidy mtaalamu nifanyie wepesi. Nina 40k nataka niiweke at paa! Ili kesho wakati naitazama Morocco vs Croatia niite Muhudumu na mtu wa jikoni kwa Confidence
  6. Herbivore

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kweli bhana..sasa hivi nacheki nakuta hiyo 42m Wallah,wakati naangalia mida ya asubuhi nilikuwa wameweka 1.5b sasa sijui ilikuwa ni kwa nini. Sorry sir
  7. Herbivore

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba kuuliza wadau... jana ndo nimefungua akaunti Sportybet. Nikachukua code humu nikatandika jamvi. Jamvi lilikuwa na odds mlima,kwa kuwa sikuwa na hela kwenye hiyo akaunti mpya nikaona wana gift ya 200shs. Nikaichukua nikaiweka hiyo yote bila kujiuliza. Ghafla leo nakuja kucheki mkeka nakuta...
  8. Herbivore

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Natembea na huu bila kujali nini... natandika jamvi kama lilivyo!
  9. Herbivore

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yaani unasema kwamba bado timu 4 tu ushinde hizo 80m zako?? Ama
  10. Herbivore

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi nimetumia ile 200 yao ya gift. Sijaweka ya kwangu maana nimefungua akaunti jana tu. Sasa najiuliza ukishinda wanakupa hiyo hela?
  11. Herbivore

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo nimefungua Sportybet nikachukua code yako nikaweka. Ina mechi kama 50. Nika stake 200Tsh. Eti mkeka ukitiki nina milioni 42![emoji23] like serious mkuu? Nasubiri hizo hela kwa hamu. Hadi nshaanza kupanga matumizi. Cha kwanza nalipa wanaonidai wote na riba juu! Pili,naongeza mke kabisa...
  12. Herbivore

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bettors nadhani humu wataalamu wa mikeka wapo,wanaojua michezo tofauti tofauti kuliko hata soka lenyewe. Hebu naomba tu join hii link tuendelee kupata nguvu zaidi hata tukiwa nje ya JF. Kuna wakati tunakuwa na Social Bundle tu hatuna access na humu. Gusa Link tuanze purukushani na muhindi...
  13. Herbivore

    Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Iahitajika gari aina ya Rav 4 Old Model,iwe Long chassis ama short chassis, kuanzia Namba B BAJETI: Tsh 7,000,000 (Milioni 7). Iwe katika good condition! Location ni Dsm. Kwa yeyote mwenye kuwa nayo tafadhali piga simu namba hii 0755 401 084. Uwe tayari ikaguliwe na fundi. Shukrani!
  14. Herbivore

    Rav 4 Old Model inahitajika

    Ndiyo, unayo? Piga simu! Iko ubaoni
Back
Top Bottom