Kuondokaa sio suluhisho jali kizazi chako unawatoto kumbukaa ombaa sana shetani yupo kazi,kuleta mwanamke mwingine ni kuletaa matatizo na dawa ya mwanamke mwwnye mdomo ni kunyamaza na kumjali atanyoookaa tu huyo
Ni kweli,ila jaribu kuchunguzaaa chanzo cha kwanza ni mzazi na cha pili jamiii na cha tatu marafiki .Mtoto anashuhudiaa ugomvii wa wazazi wake ,anashuhudiaa vitu ambavyo kwa umri wake sio vya kuonaa lazimaa somehow hashawishikii na ulaghai wa vitu na kuzama kwenye dumbwi la Uovu "Cha msingi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.