Labda tuangalie kwa jicho tofauti, siasa ya Tanzania bado changa na mizizi yake bado ni laini, lakini pia chama tawala hakijaridhia upinzani kuimarika na kushamiri.
Viongozi wa upinzani wanahitaji kuwa makini na imara hata ikibidi kuweka msimamo binafsi mbele.
Vyama vya upinzani na viongozi...
Tusiendelee kuwa wajinga kwa kdhani kuwa kuna mtu bora kwa nafasi ya Urais, Rais bora hutengenezwa na kuongozwa na katiba. Kila mtu anamapungufu ya kimtazamo ktk maeneo mbalimbali ya maisha na maendeleo hasa ukizingatia tunatoka ktk jamii zenye misingi tofauti na elimu tofauti. Jambo la msingi...
Ukristo au uislam vyote tumepokea kutoka kwa waliotutawala. Bahati mbaya waliotawaliwa na tamaduni za kiarabu walitawaliwa mpaka nafsi. Babu zetu walimjua Mungu na walikuwa na taratibu(dini) zao za kumwabudu ila waliposhindwa vita zilitupwa na kuitwa za kishenji. Mungu hakuumba vyote? Wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.