Recent content by hepache72

  1. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina afika INEC kurejesha fomu ya Urais ila ameishia Getini

    Kabisa.🤣
  2. H

    JamiiForums Tanzania Dereva Mwanamke wa Malori alalamikia kuzuiwa Vigwaza kwa Siku Tatu, ahoji faini kubwa na Ukosefu wa Huduma

    Mbn amechukua hatuna na kuwasimamisha kazi wafanyakazi wa minzani?
  3. H

    JamiiForums Tanzania KERO CRDB hiki mnachofanya sio sahihi, App inaandika ni bure kuangalia taarifa fupi ya miamala, baada ya kuangalia unakatwa Tsh 450

    Yani CRDB Bank Kila ukifanya huduma yoyote Kwa sim banking ni mwendo wa kukatiwa tu .
  4. H

    JamiiForums Tanzania Oscar Oscar: Watu wa Arusha hawana utamaduni wa kuheshimiana, kila mmoja anajiona "President"

    Tunasubiri watu wa Arusha watupe majibu. 😜
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nimenyimwa kibali baada ya kuomba kujenga Magereza binafsi

    Afadhali mochwari Maana zitasaidia sana , Maana wapo watu Wana uwezo na wanataka huduma nzuri za kuhifadhi wapendwa wao na wapo tayari kulipa.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Moja ya maziwa mtindi bora kabsa kwa sasa

    Kondiki mazuri sana , ndio nayatumia .
  7. H

    JamiiForums Tanzania Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

    Hawakujipanga kbs kuweka mgombea mzuri kbs, sijui kwanini walichukulia mambo kirahisi namna hiyo. Haya sisi Afrika yetu macho tu.🙌
  8. H

    JamiiForums Tanzania KERO Higher Education Loans Board (HESLB) imetucheleweshea malipo Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, hatuna pesa za kujikimu

    Kwani wanajali ? Mradi mishahara unaingia hawana shida, hata uwafuate kwenye page yao ulalamike hawasimi msg Wala hawajali, afadhali Tanesco wanajali wateja kuliko wao.🤪
Back
Top Bottom