Recent content by Henry Kissinger

  1. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Elimu bure inawezekana Tanzania

    Leo ngoja niwasaidie jamaa zangu wa CCM ambao wengi wao hawajui Hesabu. Tangu Mgombea Urais wa UKAWA Mhe. Edward Lowassa atangaze Elimu bure, kuna watu wamekuwa wakiona huo kama muujiza. Kwa kifupi zipo njia nyingi sana zinazoweza kufanya Elimu kuwa bure kuanzia Shule ya msingi hadi Chuo...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mgeja ampiga peter serukamba cruiz inn

    * ILIYOKUWA KAMBI YA LOWASSA YAVUNJIKA RASMI *MGEJA AMPIGA PETER SERUKAMBA KWA CHUPA, KITI NA MAKOFI LUKUKI * SERUKAMBA AMFIKISHA MAHAKAMANI, MUDA WOWOTE MGEJA KUPANDA KISUTU... Ule usemi wa mfadhili mbuzi utakunywa supu kuliko binadamu wajidhihirisha wazi ktk kile kinachoitwa dharau...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Urejeshaji wa Fomu za wagombea Urais, Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Walishazusha anaumwa lkn leo wameumbuka
  4. H

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    *HUMPHREY POLE POLE NI MCHUMIA TUMBO WA CCM. Ni kijana fulani hivi, mdogo wa umbile na ukimwangalia ni kama hayuko sawa, sitaki kulisemea sana hilo, naomba nijikite kuwaletea hasahasa mawazo yake ambayo watanzania waliamini kama ni chanya lakini baadae wanakuja kugundua kuwa mawazo yake...
  5. H

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    LOWASSA AONGOZA KURA ZA URAIS. Shirika la New Deal Africa kupitia mtandao wake wa Easypolls.com wanaendesha utafiti (opinion poll) kwa wagombea Urais nchini Tanzania waliojitokeza hadi sasa ambao ni Edward Lowassa wa (CHADEMA /UKAWA) na John Magufuli (CCM). Hadi leo asubuhi matokeo ya...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

    Lowassa still remains the man to beat in this election. Wengine wanasindikiza.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Kikwete, itisha mkutano wa dharura tunusuru chama

    Ni shidaaa
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Endelea kubweteka tu kwa kusema hii ni siasa tuu.....so what? Should we not take part kwa sababu ni siasa?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Think big brother don't reason myopicaly
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    LOWASA HANA HATIA HATA KIDOGO. Muda umepita sasa tangu Waziri Mkuu aliejiuzulu Mh Edward Lowassa kujitetea kuhusu kashfa ya richmond. Lowassa alisema bayana hadharani mbele ya waandishi wa habari na umma kwa ujumla akiwa 'live' ITV, kuwa alipokea maelekezo kutoka 'mamlaka za juu yake' kuwa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mikakati thabiti ya siasa UKAWA

    Well said brother
  12. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa aendelea kuwaburuza UKAWA. Amkataa Juma Duni Haji (Mgombea Mwenza), amtaka Ismail Jussa

    Ni jambo la aibu mtu kujenga hoja based on rumours. Mtoa post hana utafiti wowote.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark Mwandosya: Mchakato wa kumpata mgombea urais CCM uligubikwa na utata

    Things fall apart....
Back
Top Bottom