Recent content by Hennes kolon

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

    kumbe mwanzo alikuwa ni cdm!!! then akakimbilia ccm
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini nawahusisha Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi kwenye kifo cha mtoto wangu...

    mkuu sifi leo... wewe pia umefanya uzembe mkubwa saana. hujawajibika ipasavyo Kama baba , na huu uzembe wako ndo umefanya uzalishe maswari mengi ya sintofahamu. wewe Kama baba ndo ulaumiwe . wanaume ni lazima ubakishwe 50% ya utimamu wa maamuzi sahihi hata Kama upo kwenye tatizo kubwa kiasi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

    jamaa ameamua atulie asimamie biashara yake kwa ukaribu mno. bigup Sana .
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

    tafuta pesa . ndo dawa kamili .
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wayahudi hawa ndio wale akina Herode walioua Watoto wa kiume Wote kwa ajili ya kummaliza Yesu?

    hata wao enzi za Hitler waliuawa Sana watoto zaidi ya mil. 1,na wazee na vijana zaidi ya mil. 5. wanajua machungu ya kumlea adui.Ni haki yao kujilinda .
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kauli za Zelensky na Zaluzhny kuonesha wameshindwa vita

    hawezi kupeleka , Kuna deep friendship Kati ya Israel na Russia . Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
  7. H

    JamiiForums Tanzania Safi Israel kwa kulipua matanki ya maji Gaza

    nawasapoti Israel ktkt Vita hii kwasababu Hamas walianza ugomvi wao wenyewe hivyo haijalishi watakufa wangapi cha msingi waangamizwe wote. Ila jews wao wanaamini torati ya Musa yaani agano la kale , ni wachache Sana wanaoamini mafundisho ya yesu . Hata hivyo nawasapoti Jews kujilinda na kuilinda...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mh Makonda umeshindaje na Utalalaje?baada ya kusikia Mjadara wa wizi ulifanywa na wezi walio ajiliwa na serikali ya ccm?

    ha ha ha ha ... Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mpinzani mkubwa wa CCM kwa sasa ni Serikali ya awamu ya tano. Wapinzani wameshindwa kazi yao?

    upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm. maneno ya mwal.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ipo kati ya Palestine na Tanzania?

    Enzi za mwalimu Nyerere aliwatosa Israel na akawakubali Palestine na hadi kuweka ubalozi. Zama hizi Tanzania imepiga kura ya veto kupitia UN, kupinga kile Israel inachokiita kusafisa magaidi ya Hamas Tangu uhuru hadi leo hakuna Rais aliyewahi kuwaunga mkono Israel juu ya mzozo wao kongwe na...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

    mzee usitake kuwapa kazi watu ambao walikuwa hawana kazi, wakapata kazi ya kufanya kazi. hawashidwi kufukua yanayokuhusu .
Back
Top Bottom