Wabongo tumezoea kulalamika, kunung'unika na kusikitika hata ukiwekewa
kidole machoni, am sure wengi wetu tumepitia JKT, tunajua kutumia zana mbali mbali,
tunajua mbinu za medani nk.Twendeni front kama wenzetu wanavyofanya, it is very easy to get rid of these stupid
Fisadis, ni waoga mno hawa...