Recent content by Hemajevu

  1. H

    Pinda abanwa - wanaharakati kukusanya sahihi 10,000,000 kumshinikiza Pinda

    Kwa akili nyepesi unawezadhani kauli ya Pinda inaathari kwa kundi fulani ila kama anayekaidi anapaswa kupigwa hata mafisadi ni wakaidi wa sheria hivyo wanapaswa kupigwa,mwizi anastahili kupigwa...polisi wala rushwa wapigwe n.k. Je hapo si ndo utakuwa mwisho wa utawala wa sheria?
  2. H

    Mlipuko Arusha: Watu 8 wakamatwa, wamo raia wanne wa Saudi Arabia

    Mkuu kwani hapo kanisani walikuwepo wanachama wa CCM tu ili CHADEMA wawalipue? Tuache siasa kwenye maisha ya watu na hasa mustakabali wa amani na umoja wet watanzania, kila mtu afanye awezalo kuujua ukweli na sio kuanza cheap politics!!! :angry:
  3. H

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Mkuu umesema vizuri sana..tunapaswa kwenda mbali zaidi,kutuhumu dini fulani bila kufanya uchunguzi ni sawa na yale yaliyotokea Mabwepande kisha serekali kusingizia chama fulani!! Tuungane watanzania wote na tutafute ukweli...Poleni sana ndugu wa Ar kwa tukio hilo,Mungu awe nanyi!
  4. H

    Matokeo yaliyofutwa sasa kuzuiliwa Mahakamani

    Hii kali..hata mchezo wa mpira refa akitoa maamuzi matokeo hayabadiliki!! Ndo mana Kawambwa hakuwa na presha kwani alijua watamtetea tu..hii ni uthibitisho kwa mara nyingine tena kuwa serekali ya CCM inapenda Cheap Popularity na haina nia ya dhati ya kuwakomboa watanzania bali kuendelea kuwatawala.
  5. H

    Kuvamiwa kwa Lema: Maongezi yangu na RPC & Barua kwa Mkuu wa Mkoa Arusha

    Your Class position determines your thinking...
  6. H

    Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

    Hayo mawasiliano yaliyofanyika kwa hizo cm zilizotajwa ndo yatathibitisha ufake au uhalali wa hiyo video,just relax,everything is under control-hakuna pa kutokea coz kwa Uli the easy way ilikuwa kuifungia mwanahalisi,this time-NO WAY!
  7. H

    Sitajiuzulu kwa kuogopa majungu ya vyama vya upinzani-Mulugo

    Kwanini asithibitishe public kama ambavyo tuhuma zimetolewa? By the way kama mtu anataka kuthibitisha elimu yake mbona ni rahisi sana wala hapswi kutokwa na povu!
  8. H

    Msaada jamani. Natafuta vyeti.

    Pole sana mkuu,mi mwenyewe ni mhanga nilipoteza kuanzia cha o'level mpaka cha chuo,nimetoa taarifa polisi wameshindwa kunisaidia hata baada ya kuwapa simu ya mtu aliyenipigia na kudai anavyo na baadae kupotea hewani kabisa. Natamani NECTA wangebadili utaratibu wao kwa waliopoteza vyeti!!
Back
Top Bottom