Wote tumeshasikia kwenye TV kwamba IGP kaamuru Tundu Lissu aende kuripoti kituo cha polisi Moshi. IGP ambaye ndiye top alisisitiza kwamba hiyo ni amri toka kwa IGP. Hiyo ni taarifa ya habari.
Masaa mawili baada ya taarifa ya habari ikasambaa mitandaoni barua ya kumwita Tundu Lissu akahojiwe kwa...
Kuomba ushauri hakunifungi nisiwe na akili ya ku-analyze ushauri wako. Hakuna ushauri hata mmoja umeona nasema SITAKI bali kila nilipopinga nimeupinga kwa hoja ambayo tayari ninayo.
Wewe kama ni mjita lete hata mila na desturi nikusikiliza maana kama umenisoma nimesema ubishi uko kwenye mila...
Ninapokataa ushauri wenu pamoja na mimi kuuomba ni kuambatana na majibu yasiyo na mashiko kama haya. Mtu unajibu neno kwa sababu maalumu na huitaji sababu hiyo, eti ni mimi nisikilize ushauri huo. SI itakuwa kituko.
Lilishaandikwa kwenye biblle. Yesu mwenyewe ametokea kwenye chimbuko la mtu kumuoa mtoto wa mjomba wake.
Jacob alioa mabinti wawili wa Rabani ambaye ni mjomba wake, yaani Rahel na Leah na akazaa nao watoto 12 na ndiyo asili ya makabila 12 ya wana wa Israel ambao ni ukoo wa Yesu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.