Recent content by Hello beautiful

  1. Hello beautiful

    Wanaume na kubadili dini

    Nakazia………
  2. Hello beautiful

    Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

    Mkuu nisaidie ramani yako km hutojali
  3. Hello beautiful

    Kwanini mwaka huu Kombe la Shirikisho (CAFCC) kulikuwa na timu dhaifu

    Wakiifunga Yanga mnawasifia mapambio kila aina mara hawajawahi kufungwa kwao nk Yanga akiwafunga wanageuka dhaifu ghafla, Hao usma unaosema wapo nafas ya 10 walimtoa asfar ambae yupo nafas ya ngap hapo?? Rage alimaliza kila kitu
  4. Hello beautiful

    Hiki ndio kitu ukiwaonyesha mashabiki wa Yanga wanaweza kukupiga mawe kwa hasira

    Rage alikua sahihi Usma alimtoa asfar Alafu nbc ligi imekaaje vile?
  5. Hello beautiful

    Kuelekea fainali Algeria: hiki ndiyo kikosi changu Cha Yanga sc kitakachonipa ubingwa.

    3-5-2 formation Diarra Job Bacca Mwamnyeto Djuma Zawad Bangala Mudathir Lomalisa Mayele Musonda Sec half aingie Morrison ki moloko mzize
  6. Hello beautiful

    Kinachoendelea Liti Stadium kimenifanya nizime TV

    Wazee wa kufa kiume wanapambana kulalamika kiume pia! Zuwena mlitegemea singida bs awasawazishie sare yenu na namungo?
  7. Hello beautiful

    Singida BS vs Yanga, hii mechi ipo fixed?

    Kwaio nyie zuwena fc jana mlishona sare mkitegemea singida big stars awapambanie?? Nyie mkimfunga ruvu 7 sie tunapata moja kwa mbinde geita mliwapiga 5 tena kwao nyankumbu wakat yanga haijawah kuwa na mechi nyepes na geita. Nihitimishe kwa kusema kila mtu ashinde mechi zake. Sema nn...
  8. Hello beautiful

    Serikali ya Kenya muachieni Mchungaji Paul McKenzie haraka sana

    Ni walokole na walokole ndo wana tabia nyingi za kipuuzi na matatizo ya afya akili, makanisa mengi ya kilokole yameproove hilo, mbona hatujawahi kusikia padre wa roman kawaambia waumin wafunge kwaresima nzima kavu mpk wafe? Au muumin yeyote wa roman kafa kwa kufunga? Mbn waislam wanafunga miaka...
  9. Hello beautiful

    Tumia lugha ya Hospitali Kuelezea Mahusiano yako ya Kimapenzi kwa sasa.

    Vipimo vyote havioneshi ugonjwa wowote Na Mpaka sasa kama madaktar hatujajua tatizo la mgonjwa, ningeshauri mjaribu Na upande wa pili we kama mtu mzima utakuwa umenielewa
  10. Hello beautiful

    Mchumba anatafutwa!

    75 hukooo hakika mwendo nmeumaliza
  11. Hello beautiful

    Mchumba anatafutwa!

    75 hukooo hakika mwendo nmeumaliza
  12. Hello beautiful

    Mchumba anatafutwa!

    Nmeaga mashindano rasmi hapo kwenye 70 kgs daah [emoji30]
  13. Hello beautiful

    Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

    Wanaume wakiwa kwenye vijiwe vya kahawa ban [emoji1787][emoji1787] kila mmoja haongi yaan! Uzur adui wa mwanaume ni mwanaume yaan, unaona elf 10 nyingi mwingine anatuma laki [emoji23][emoji23] ndoivo ilimradi mtt wakike apate kuishi.
  14. Hello beautiful

    YERIKO NYERERE ADAI WANA YANGA WAMETAPELIWA LEO

    Manyonyo fc mtateseka sana kwa Yanga hii punguzeni ashki majnuni, ndo maana rage alisema nyie ni mbumbumbu
Back
Top Bottom