Recent content by Hell is real

  1. Hell is real

    Hapa hamna kisingizio tena

    1 Wakorintho 1:18 Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
  2. Hell is real

    Hapa hamna kisingizio tena

    Yohana 3:23 Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu wakamwendea, wakabatizwa. kama watu walisafiri kutafuta ubatizo wa maji mengi, ni hakika kuwa ubatizo wa Mengi ndo ulio ubatizo sahihi kibiblia
  3. Hell is real

    Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

    Luka 6:26 Ole wenu ninyi watu wote watakapowasifu, kwa kuwa baba zao waliwatenda manabii wa uongo mambo kama hayo.
  4. Hell is real

    Huu ndo ukweli kwa kizazi chetu

    Unapoyaona hayo jua mwisho umekaribia Yesu anarudi kuchukua kanisa, jiandae kwa kujitakasa kila iitwapo leo!!!motoni sio sehemu ya Mwanadamu
  5. Hell is real

    Huu ndo ukweli kwa kizazi chetu

    Matendo ya Mitume 3:19 Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana;
  6. Hell is real

    Huu ndo ukweli kwa kizazi chetu

    Habari zenu wakuu!! Ukitafakari dunia tulionayo mda so mrefu duniani itachomwa moto na itaondoka kama ukurasa Warumi 1:26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili; Warumi 1:27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha...
  7. Hell is real

    Chuo ni sehemu ya msoto kwa watoto masikini

    Luka 21:34 Basi, jiangalieni, mioyo yenu isije ikalemewa na ulafi, na ulevi, na masumbufu ya maisha haya; siku ile ikawajia ghafula, kama mtego unasavyo;
  8. Hell is real

    Chuo ni sehemu ya msoto kwa watoto masikini

    Mbona umekimbilia kwa wanawake huwezi kuishi bila hao!!! Ni tamaa tu za vijana!! Wewe umepelekwa chuo kusoma unaanza kukimbizana tena na uasherati!! Mambo ya hovyo kabisa Wakolosai 3:5 Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani...
  9. Hell is real

    Vijana na wazee acheni uzinzi na uasherati

    1 Wakorintho 6:18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
  10. Hell is real

    Vijana na wazee acheni uzinzi na uasherati

    1 Wakorintho 6:18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
  11. Hell is real

    Vijana na wazee acheni uzinzi na uasherati

    1 Wakorintho 6:18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
  12. Hell is real

    Vijana na wazee acheni uzinzi na uasherati

    Warumi 12:1 Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana. Warumi 12:2 Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu...
  13. Hell is real

    Vijana na wazee acheni uzinzi na uasherati

    Luka 19:10 Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.
  14. Hell is real

    Je, Wajua hili?

    Habari wakuu !! Je, unajua kuwa mji wa mbinguni kuna maghorofa yenye urefu wa mile 500,000 sawa na kilometa 804,450???? Ufunuo wa Yohana 21:16 Na ule mji ni wa mraba, na marefu yake sawasawa na mapana yake. Akaupima mji kwa ule mwanzi; ulikuwa kama maili elfu na mia tano; marefu yake na...
  15. Hell is real

    Vijana na wazee acheni uzinzi na uasherati

    1 Wakorintho 2:11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
Back
Top Bottom