We nchemba cdm ilivyolalamika kuhusu kambi za vjana wa ccm mbeya ulisema ni upuuzi,sasa cdm imechukuwa jukum la kujilinda wenyewe kwa gharama zao inakuwasha nn?tulia jasusi ukunwe,usipige mayowe!!
Pamoja na kaul hiyo ya TENDWA, bado si mtu wa kuminika sn kwan ana hist ya ukada wa ccm na polisccm wao!
Tutakuwa makin kuliko vpind vingne vyote vya uchaguz.
viva cdm!
Kamanda mkuu ushiriki wake ulipelekea uwepo wa upinzani kamili kuonekana.Ni upofu wa kutazama kwa jicho la makengeza lisilolenga mantiki ya yeye kushiriki.Ukijitenga na adui yako sana unatoa mwanya wa yeye kutamalaki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.