Recent content by helenae

  1. H

    JamiiForums Tanzania Facebook kupata likes nyingi kwa muda mfupi hii imekaaje wadau?

    Unatumiaje mkuu
  2. H

    JamiiForums Tanzania Je, haya mazoea ya miaka mingi ya kuogea sabuni za kufulia ni sahihi kweli? Kama si sahihi, yana madhara gani kwa afya za watanzania hapo baadae?

    Kwa upande wangu niko bomba kabisa,,,sina upele wala homa,wala uvimbe,,,tangu mdogo natumia sabuni ya kufulia kuogea mpaka leo nipo 30+,,, Mnaofahamu madhara yake hebu mkuje mtujuze tafadhali!!
  3. H

    JamiiForums Tanzania Je, haya mazoea ya miaka mingi ya kuogea sabuni za kufulia ni sahihi kweli? Kama si sahihi, yana madhara gani kwa afya za watanzania hapo baadae?

    Kwa hiyo ww nyumbani kwako umetenga ndoo special kwa kufulia,,ndo special kwa kuogea?? Hebu nisaidie madhara ya kutumia ndo moja kufukia na kuogea,,,
  4. H

    JamiiForums Tanzania Lotion kwa kung'arisha ngozi

    Wana JF msaada tafadhali,,,kwa anayeifahamu lotion ya KERI SHEA BUTTER naomba kujua kama ni nzuri kwa kung'arisha ngozi na kufanya mwili kuwa na rangi moja. Na je inauzwaje?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Growth Hacking

    Asante nimejifunza pia
Back
Top Bottom