Recent content by Hel

  1. H

    Kumbukumbu ya miaka 16 tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Swali lakijinga na lakipuuzi ambalo sikulitarajia''
  2. H

    CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi

    They are illogical, but their opponents are irrational
  3. H

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Muda stahili kwa mwanachama kupewa ridhaa ya kuwania udiwani, ubunge au urais, sidhani kama kilizingatiwa kipengele hiki, hakuna chama kinaruhusu utaratibu kama huu.
  4. H

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Ndiyo hayo hayo yanayoendele yana mahusiano tu, kwanini asihame tanbgu hapo awali kama si kusikilizia wapi kuna kitu. Kick za kustaafu siasa siyo kama hizo
  5. H

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Mwanachama hana hata wiki, wakampa kugombea urais, UKAWA haikukosea, ila CDM ndio ilikosea, ila kilichopo nyuma ya yote ni tamaa na uchu wa madaraka na maslahi binafsi
  6. H

    Wanachama zaidi ya 1900 CHADEMA wajiunga na CCM

    Wanatoroka, waache waje, tunawavua magamba tunawavalisha uanachama
  7. H

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Hahaha, akam ni hivyo unataka kunambiua mpaka wazee wanapiga madili ya siasa!
  8. H

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Hakuna CDM walivunja, katiba yao kwa sababu ya EDO, yaani ni shida sana siasa
  9. H

    Synovate Ipsos kutoa matokeo ya utafiti wake leo saa tisa na nusu mchana

    Nadhani itakuwa ni TV kama walivyofanya TWAWEZA
  10. H

    Synovate Ipsos kutoa matokeo ya utafiti wake leo saa tisa na nusu mchana

    Hakuna vihoja nimewahi ona, kama kwenye uchaguzi wa mwaka huu especially muda huu wa kampeni, haya tusubiri hayo matokeo
  11. H

    CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi

    Tupo sawa, ni maoni tu!
  12. H

    Majedwali: Ripoti ya TWAWEZA ya 'Sauti za Wananchi' ya matokeo kuelekea uchaguzi

    Wataisoma namba mwaka huu, Baba MagufuliJP twende na mwendo huo huo
  13. H

    Mkutano wa CHADEMA wa kuchangia kampeni za Uchaguzi - Sept 21, 2015

    Nadhani ujumbe mfupi wa ZITTO RUYAGWA kupitia mtandao wa Twitter una ujumbe mrefu na mzito, ila kwa watu wavivu wa kufikiri watashindwa kuelewa kilichomaanishwa, wao wanakimbilia tu kusoma kiswahili, soma na kidhungu hicho, uelewe Tanzanaia njema yaja, sijui hata itakuja vipi wakati kupembus...
  14. H

    Watanzania sio wajinga; tumekusikia, tumetafakari na tumeamua Magufuli ndio ajaye

    Na ndio maana watanzania tunaitwa wajinga, kwa kuwa ni wavivu wa kusoma, hviv hiyo ni habari ndefu!??? MWISHOWE MTAAMBIWA TAFITI ZINASEMA UKISOMA NENO MOJA UBONGO UNAPUNGUA UWEZO WA KUFIKIRI, MTAKUBALI.
  15. H

    Watanzania sio wajinga; tumekusikia, tumetafakari na tumeamua Magufuli ndio ajaye

    Dada Juliana hongera sana kwa harakati zako za kujaribu kuwaweka sawa watu ambao wanahitaji msaada wa kifikra, na pia nikupe pole kwa kuwa unapata attack nyingi pindi tu unapoamua kulizungumzia jambo fulani, ila usikate tamaa Nabii hakubaliki kwao, hawa wanaokukataa ni watu wa nyumbani kwako...
Back
Top Bottom