masoud muktar
Member
- Apr 7, 2015
- 27
- 5
yaaaap hapa kazi tu
Una tezi dume kichwaniAchana na slogan na propaganda nawewe, unavyosema Ccm nani alikuwa ccm. Mawaziri wakuu wote ambao ni wasimamizi (executive or administration power) yote katika wizara zote walikuwa wao. Leo unatukana sasa tulaumiwe sisi wananchi au wao kwa tamaa zao za kujilimbikizia mali na leo wanakuja upinzani kubomoa upinzani mnawashabikia. Fikiria kabla ya kusema. # hapa ni kazi tu. Mwambie lowasa achanje mbuga hivyo kuwafuata wananchi kama ataweza. *****.
Una tezi dume kichwani
Hao wanachama 1900 wako wapi?
Naaza kuona raha ya ushindi mkuuuuuubwa wa CCm
Mtatumalizia wananchi wetu. Wangwe mlimaliza leo mtikila mara albino. ***** # hapa ni kazi tu.
Utaendelea kuwa mfungwa hivyo hivyo
Utaendelea kuwa mfungwa hivyo hivyo
ccm bhana mnajitekenya halafu mnacheka
Ukawa aka ukiwa Hamjitambui kwa kushabikia jizi