Recent content by hekimabora

  1. H

    Lissu: Spika Ndugai ni Mnafiki, hatutaki futari ya kiongozi anaetubagua

    Walienda kipindi cha jk mkasema wanakimbilia ikulu kunywa kahawa hayo sio matusi.
  2. H

    Wasomi wote Njooni, Debate hii mjibu hoja kisomi.. tutatue tatizo la ajira

    Neno ajira ni pana sana wanaosema wanataka ajira hawasemi za serikali au taasisi ilimradi iwe ajira turudi kwenye mifumo ambayo serikali imeweka serikali imeweka mifumo tegemezi hakuna mfumo kwenye elimu amvao IPO dependent yote ni independent hivyo huyo mwanafunzi anawaza nisome nije kuwa...
  3. H

    Spika Ndugai aelezea utaratibu wa Chenge kuvuliwa uenyekiti wa bunge

    Chenge hatuhumiwi kwa hilo la mchanga kilichopo hapo ni ile yeye kama mwanasheria alivyosaini sasa je yeye angefanyeje kashapewa amri na mkubwa wake ulitaka apinge alichosema mkubwa wake hata sheria za jeshi ziko hivyo anachosema mkubwa ndicho hutekelezwa.
  4. H

    Kwanini Lissu asipuuzwe? Sasa inakuwa too much!

    Mi napenda sana hoja za jamii forum kikubwa hapa CCM mnajitoa ufahamu mnajifanya mmesahau kabisa kwamba ninyi ndio mmetufikisha hata tulipo
  5. H

    TWAWEZA: Idadi ya wanaomkubali rais Magufuli yashuka kutoka asilimia 96 hadi 71 mwaka huu

    Usiseme chadema wameshuka ila wamezibwa mdomo na mkulu na kupewa kesi za uongo lengo ni kuwanyamazisha wasiongee kabisa wananchi muwe waelewa waruhusu mjadala na haraiki na mikutano ya kisiasa uone kama wameshuka utafiti umeshindwa kueleza sababu za kushuka Leo CCM inapambana na hewa harafu...
  6. H

    Benson Mramba: Nimeamua kuwa Mwanachama Mfu wa CHADEMA

    Tunazungumzia sana ushabiki bila uhakika CCM majengo yale yalijengwa na wananchi kwa kodi zetu wenyewe kipindi cha chama kimoja leo hii mnasema imejenga viwanja kiwanja gani imejenga baada ya mfumo wa vyama vingi vya siasa kama sio vyoye imehaji kutoka kwa wananchi yaani serikali na kuwa mali...
  7. H

    IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Ripoti hii hatari mtu amechimba madini miaka nenda rudi harafu leo mnasema yupo kinyume hii tumlaumu nani katika hili ni shida hatuji kuwa kwenye mstari kwa uzembe kama huu.
  8. H

    Wabunge waliotumia muda wao kuishangilia bajeti wajipime sana, ni kitendo cha aibu walichofanya

    Hajasema waanze kuchangia Bali wasikilize kwa manufaa ya wengi kilichokuwepo ni kusifia bila kujua nini athari yake tunaona deni la taifa ni zaidi ya bajeti.
  9. H

    Pongezi za dhati Rais Magufuli kwa bajeti hii mwaka 2017/2018

    Mtoa mada ameandika huku amefumba macho maana alicho andika hakina mchanganuo wowote wa kuonyesha ni nna gani itatekelezwa au kwa sababu wabunge walipiga sana makofi? Kuna maswali najiuliza bajeti iliyopita walipunguza kodi kwa wafanyakazi wakaongeza gharama za miamala ya kibenki hii imepelekea...
  10. H

    Kuna maswali yafaa tujiulize kwa bajeti ya serikali ya 2017/18

    Utasikia wanasema wizara hazijapewa pesa za kutosha wakati bajeti inaonekana zimetwngewa kiasi cha kutosha
  11. H

    Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Acheni hiyo ni ya kutengeneza kama una ushahidi weka video hapa tuone
  12. H

    Mwenyekiti wa chama cha upinzani kuteuliwa mkuu wa mkoa (katiba ya CCM) akikubali ni kukosa uelewa

    Raila alifanya kazi kama waziri mkuu baada ya purukushani za nani alikuwa mshindi wa urais wakaamua kuunda serikali ya umoja wa kitaifa
  13. H

    Gharama ya nauli Dar - Johanesburg kwa usafiri wa basi

    Hiyo nauli mbona kubwa sana jaribu 2500000 kwa pesa ya kwetu bongo too much
  14. H

    Makonda: Marufuku kudai nyongeza ya mshahara! Nashangaa watu wanapita na mabango, mie ningewachapa

    Upuuzi kama huu tena aache kabisa ataumbuka hadi atajuta anahisi watu wote anaweza kuwachapa viboko aende akasome Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom