Recent content by hekima

  1. H

    If our President has more than one wife: The question of human rights

    Dah mzee sina muda wa kutosha. but anyway.utafiti unaonyesha idadi ya wanawake imezidi sana idadi ya wanaume,hata tz ni hivyo.WANAWAKE AMBAO HAWATOLEWA WATATIMIZA VIPI MATAMANIO YAO YA KIMAUMBILE. NDIO MAANA HAWALAZIMISHWI ILA WENYEWE WANAONA KUNA HAJA YA HILO. what du u thınk.....
  2. H

    Je, hii ni sawa?

    karibu sana dada yetu na pole kwa tabia za "kutowajibika" za mume wako. kwa kifupi na kwamba,swali kama hili linahitaji jibu la makini na la ukaribu. Nadhani site hii si wala si rahisi kupata ushauri utakao kufaa kwa swala la kijamii,kifamilia na kimahusiano kama hilo.yawezekana wengi kati ya...
  3. H

    Muafaka CCM na CUF, pande mbili za shilingi!

    nadhani unahitaji kuzingatia kwamba fikra zakao zime base kwenye assumptions ambazo bado hazijatokea.kama ukizangatia kwa makini misingi ya muafaka ambayo ni serekali ya mseto, hata kama humuamini maalim Seif ambaye atakuwa waziri kiongozi basi muamini Karume.
Back
Top Bottom