Inawezekana kufanyia kazi remotely. Asilimia kubwa ya kazi zitakuwa remotely, ila baadhi ya kazi (na kama kuna ulazima) zitakuwa zikifanyika ofisini au kwa client's office.
Karibu.
Fundraising Event kwenye kwa nchi nyingi, imekuwa na mafanikio makubwa. Matukio haya yamekuwa yakiyawezesha mashirika mablimbali kama vile hospitali, vyuo, asasi za kiraia n.k kukusanya rasilimali fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi na programu mbalimbali. Waandishi wengi wamejaribu kuchambua...
Uandaaji wa Mpango Mkakati yaani “Strategic Planning” unahusisha ukusanyaji na ufanyaji wa tathmini wa taarifa juu ya mazingira ya nje yanayoizunguka kampuni yaani “external environment”. Mazingira haya yamehawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni’
Fursa. Haya ni mazingira chanya...
Dhana/mbinu ya uthibiti wa ubora katika biashara yaani "Total Quality Management" (TQM) kwa mara ya kwanza ilianza kutumika miaka ya 1980 na kampuni za Kijapani, baadae mwanzoni mwa miaka ya 1990 Kampuni za Amerika ya Kaskazini na zenyewe zilianza kuitumia mbinu hii.
Kwa upande wa Amerika ya...
Katika masuala ya Harambee (fundraising), Tanzania bado hatujaweza kuwa na chombo maalum ambacho kinapaswa kutoa utaratibu pia muongozo katika suala zima la Harambee. Kutokuwa na chombo hiki kwa Tanzania haimaanishi kwamba, Harambee inapaswa kufanywa pasina kufuata taratibu, la hasha. Kuna...
Pindi kampuni inapopoteza nguvu ya kiushindani, faida pia hushuka (profitability falls) japo si lazima Kampuni kufa. Kuna sababu nyingi zimekuwa zikielezwa kama chanzo kwa kampuni kupoteza nguvu/uwezo wake wa kiushindani sokoni. Lakini sababu kuu zinazosababisha hali hii ni kama ifuatavyo...
Kuna aina mbili za uombaji wa fedha ama ruzuku kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi; aina ya kwanza ni kuomba ruzuku baada ya kutangazwa wito wa kuwasilisha michanganuo ya miradi (hii tunaita "Reactive Grant seeking") aina ya pili ni uombaji wa ruzuku pasina kutangazwa wito wa uwasilishaji wa...
Ruzuku ni kiasi cha fedha kinachotolewa na mashirika binafsi ya hisani (charitable giving foundation), mashirika ya ya umma ya hisani (public charity) au wakala/Taasisi za serikali (government agencies/insitutions) kwa asasi za kiraia (Civil Society Organizations) ili kuziwezesha kutekeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.