Leo nlipata kusikiliza ibada ya Gwajima...huwa wanarushaga live kwa ustream...namnukuu kasema"Mimi sina upande na kama haunialiki ni shauri yako..sio wenzako wananialika kwenye mikutano yao halaf unaona wivu na unaanza maneno"mwisho wa kunukuu..
Jamani kwa maombi yale kakosea nini..hata kama...
Jeshi la polisi sasa hawana jipya nlikuwa nawakubali ila wooote kuanzia mkubwa hadi mdogo wamekosa la kufanya hadi wahangaike na hawa watu...huu muda akili na pesa si bora wafanyie mengine..labda waseme kuwa uchawi na uganga wao unakwamishwa kwa njia moja ama nyingine ambayo sisi kwa macho...
Nakumbuka mwaka flani 2011 kuna msoma nyota flani alikuwa akijiita shehe alikufa live mbele ya waTananzia wote...na alikuwa na katabia ka kumjibu na kumkebei Askofu Gwajima...nadhani kuna mmoja mwaka huu nayeye lazima atakaushwa....kwenye bibilia Mungu alishawai kuuwa wazaliwa wote wa kwanza...
Wale wachungaji wasaidizi wa Askofu Gwajima waliokuwa wamekamatwa siku ya tarehe 29.03.2015 usiku wa manane wa kuamkia Jumapili na Jeshi la Polisi kwa kudaiwa kutaka kufanya jaribio la kumtorosha Askofu Dr.Gwajima kimafia kutoka hospitali ya TMJ HATIMAYE WAACHILIWA HURU
...Jeshi la Polisi...
Jopo la maaskofu kutoka madhebehu mbali wamefika Hospitali ya TMJ jioni ya leo Tarehe 30/3/2015 kumjulia hali Askofu Gwajima
Pia Askofu Vernon Fernandes akiwa na mkewe pamoja na askofu Mwasota wafika jioni ya leo Hospitali ya TMJ Kumjulia hali Askofu Gwajima.
Mchungaji Peter Nyaga alifika pia...
Jopo la maaskofu kutoka madhebehu mbali wamefika Hospitali ya TMJ jioni ya leo Tarehe 30/3/2015 kumjulia hali Askofu Gwajima
Pia Askofu Vernon Fernandes akiwa na mkewe pamoja na askofu Mwasota wafika jioni ya leo Hospitali ya TMJ Kumjulia hali Askofu Gwajima
Mchungaji Peter Nyaga alifika pia...
Mimi nnavyojua na nijambo la uhakika 100% huwa kuna laana flani hivi Mungu anaachilia kwa mtuanayekashifu watumishi wa Mungu....na kwa hali zetu za kibinadamu huwa ni ngumukutambua kuwa huyu au yule ni mtumishi kweli wa Mungu...Yesu Kristo mwenyewe alikashfiwa,,ilani wengi waliokuja baadae...
davidm, Ni Kweli Kabisa ni lazima laaana itawashukia...na watu wengi wanadhani laaana ni lazima waanze kuokota makopo ghafla.....aaahhaaaa...yani kati ya hizi siku mbili...tatu...kila mtu alieinua kinywa kutukana atakuja kugundua kuna mambo yake hayaendi endi kabisa, vihasara vya hapa na...
davidm, Ni Kweli Kabisa ni lazima laaana itawashukia...na watu wengi wanadhani laaana ni lazima waanze kuokota makopo ghafla.....aaahhaaaa...yani kati ya hizi siku mbili...tatu...kila mtu alieinua kinywa kutukana atakuja kugundua kuna mambo yake hayaendi endi kabisa, vihasara vya hapa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.