Recent content by HeBi_BoY

  1. HeBi_BoY

    Nawezaje kusoma kozi ya IT, DIT kwa vigezo hivi?

    Naamini mu wazima mwenye taarif zozote kuhusu chuo cha DIT hasa vigezo vya kujiunga na kozi za IT maana nimesoma Arts ila napenda kusoma IT hapo DIT, nna pass 1.3 Alama zangu ni F ya mathe, B ya english na C ya kiswahili. Yaliyobaki yote D.
  2. HeBi_BoY

    Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Pass 1.3 CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' BIO - 'D' B/MATH - 'F' ANAWEZA CHAGULIWA DIT kwa kusomea IT au UDOM kwa kusomea Land managment?
  3. HeBi_BoY

    Kada ya Afya: Wenye uhitaji wa Kubadilishana Vituo vya Kazi

    Nna dada nurse anatafuta kazi balaa hajapata dah ukiweza kumsaidia nichek inboX Note:Hajaajiriwa
  4. HeBi_BoY

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mnabwabwaja xana wapinzan Ila jua nampa 3 nje nampa 4 ndani then nawangojea wa robo
  5. HeBi_BoY

    Nisome kozi gani ambayo itanipa ajira kwa urahisi

    Nadhan ckuamua bado na ckumaliza mwaka jana np hm maisha y watanzania mnayajua ndugu zang ushaur haufi najua nimechelewa sawa ntajiunga next year nw ntaendelea na viji fan
  6. HeBi_BoY

    Nisome kozi gani ambayo itanipa ajira kwa urahisi

    Bado napokea maoni nayasoma kwa bidii nashukuru ndug zang 2p pamoja mi n HGL nilisoma Artist
  7. HeBi_BoY

    Nisome kozi gani ambayo itanipa ajira kwa urahisi

    Hadi sasa nishafikiria vingi lakini naona bado sina jibu juu ya cha kusomea maana kila nnachotaka kusomea napata wasiwasi wa kazi Jamani mliotangulia makazini,vyuoni Naombeni msaada
  8. HeBi_BoY

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Premier betting Tanzania - Odds Normal ...Oyoo 2shaliwa sana 2shakula sana Mwendo wa kuji2sua 2 kama vp cheki keka 2ka bett Sema Jana Germany kanikosesha elf 60
  9. HeBi_BoY

    Nashindwa kujizuia kuwa na mpenzi mmoja

    Duh. asakuta same Umri wa kuoa huu hahaha
  10. HeBi_BoY

    Nashindwa kujizuia kuwa na mpenzi mmoja

    Sema mda mungine nadhani wanawake mnachangia sana tu
  11. HeBi_BoY

    Nashindwa kujizuia kuwa na mpenzi mmoja

    Ahsante kwa ushaur Rafiki nadhani nimeamua kuwa na mmoja sasa baada ya maoni na nashukuru mungu she love me much thanks kwa wote mlioshaur nimefata ushauri unaofaa
  12. HeBi_BoY

    Nashindwa kujizuia kuwa na mpenzi mmoja

    Ninae nimpendae sana lakini najikuta nina approach wengine wengine na wengine na kuwa nao pia ...USHAURI TAFADHALI
Back
Top Bottom