Recent content by Heaven on Earth

  1. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania School Nurse

    Hello JF, Natafuta school Nurse, mwenye good recommendation kindly PM me kwa kunitumia CV. Qualification - Diploma in Nursing and has to be a registered Nurse. Asanteni.
  2. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

    Hahahaaaaa nimecheka ujue! Glad wote tuko wazima! Max amenifanya nirudi tena LoL!
  3. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Natafuta Librarian Intern to work in an International school. Mwenye vigezo kindly PM me.
  4. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

    Asante Khantwe! Habari za siku kipenzi Nimewamiss wana JF…
  5. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

    Nipo jamani, tunalea mapacha
  6. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Nahitaji kijana for a marketing task with a vision for a part time task. Tuma msg yako PM. Awe na background ya Marketing na uwezo wa kufikiria kimkakati.
  7. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Hahaa mimi pia nimefurahi kutoka moyoni.. na smile mwenyewe tu hapa… Stay well & take care mpenzi 😍😍
  8. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Duh hapo ninge guess mpake kesho kutwa nisingejua ni wewe…. Mimi tu ndio nimekomaa na ID yangu.. It feels good to be connected again my dear… habari za siku nyingi??
  9. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Aww Nakupenda pia Call me Solo 😍😍
  10. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Wamekua wakubwa namshukuru Mungu. Hahaaa halafu huyu nani huyu hii ID inani confuse ujue maana kama unajua habari ya twins wangu wewe ni old member mwenzangu
  11. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania Who is Your JamiiForums Crush?

    Nipo my all time crush ❤️❤️
  12. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Leo nipo Mkuu… It has been long for real
  13. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Asante my dear…. Salam zimefika tuko kulea familia
  14. Heaven on Earth

    JamiiForums Tanzania Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Nimefanya nini jamanii?
Back
Top Bottom