Recent content by heartless

  1. H

    JamiiForums CRDB acheni kukomoa wafanyakazi wa serikali tusiotumia benki yenu

    Hahahahahaaaa... Wewe kweli ni usiku.
  2. H

    JamiiForums Mwanamke wa ndoto yangu apewa ujauzito na kigogo wa Halmashauri

    Wadau naombeni ushauri, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana kwa dhati. Tulifika hatua ya Kuomba kibali kwa wazaz ili tuishi pamoja kama wanandoa lkn mambo yakabadilika ghafla tulipotenganishwa kikazi. Mimi nilipangwa mwanza na yeye huko lindi, cha kunishangaza alikuwa anakata...
  3. H

    JamiiForums Deni la taifa ni sh 35.01 trilioni, ukiambiwa uchangie kumaliza deni uko tayari?

    Kukopa wakope wao, kulipa tulipe wote hiyo haipo...
  4. H

    JamiiForums CRDB acheni kukomoa wafanyakazi wa serikali tusiotumia benki yenu

    Sitakuja kumshauri MTU salary yake ipitie CRDB maana haya ni mateso..
  5. H

    JamiiForums CRDB acheni kukomoa wafanyakazi wa serikali tusiotumia benki yenu

    Basi tofauti isiwe kubwa sana, Leo siku ya tatu toka wenzetu wa bank zingine wapate mishahara yao. Kweli mnatuboa.
  6. H

    JamiiForums Tetesi: Uteuzi wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli achukua vijana lukuki

    Sishangai magufuli kulipa fadhila kwa Humphrey pole pole. Huyo jamaa alipigania sana chama...
Back
Top Bottom