Recent content by HDP

  1. H

    Jambo muhimu ambalo sehemu kubwa ya jamaa haifahamu kuhusu ugonjwa wa MPOX

    Ugonjwa wa MPOX unaenezwa kwa njia ya ngono. Hii siyo njia pekee isipokuwa kwa kiasi kikubwa watu wazima wanapata ugonjwa huu katika mchakato wa ngono au tendo la ngono lenyewe. Vimelea hukaa katika majimaji ya mwili (ute wa mwanamke, mbegu za mwanaume, damu, mate n.k) wa binadamu au mnyama...
  2. H

    Wanaamini UWEPO na UUMBAJI wa Mungu, naomba majibu ya swali hili

    Leta "definition" ya sayansi tuanzie hapo kwanza.
  3. H

    Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

    Aisee!!!, una uhakika uko sawa kifikra?
  4. H

    Kwenye suala la HIV na UKIMWI wazungu walitupiga? Nini kifanyike?

    Sikuliza elimu inayotolewa na wataalamu wa afya au maelekezo rasmi ya serikali. Huyu hajui lolote au ni mchawi
  5. H

    Faida ya chanjo kwa ujumla wake

    Kinacho wasumbua hawa wapinga chanjo ni kutokuwa na uelewa wa msingi katika eneo la chanjo kwa ujumla. Wamepata elimu potofu kutoka google au kwa vishoka wengine. Maana hata huku afya kuna vishoka siyo TANESCO tu
  6. H

    Faida ya chanjo kwa ujumla wake

    Umenifurahisha ulivyoanza kuelezea ni dhahili uelewa wako uko sawa kiasi. Isipokuwa hapo katikati na jinsi ulivyomalizia imeonyesha pia kuwa hujui kitu na hii ni porojo kama porojo nyingine. SOMA VIZURI ANDIKA LANGU 1. Ukichanjwa chanjo yoyote kuna UWEZEKANO (%) wa kupata ugonjwa kutegemeana...
  7. H

    Ukweli kuhusu faida ya chanjo kwa ujumla wake

    DALILI ZA UVIKO-19 AMBAZO HUTOKEA KWA WAGONJWA WENGI 1. Maumivu ya viungo 2. Maumivu ya kichwa 3. Uchovu 4. Homa 5. Kikohozi kikavu DALILI AMBAZO HUTUKEA KWA BAADHI YA WAGONJWA 1. Maumivu ya koo 2. Kuharisha 3. Kuumwa macho (conjunctivitis) 4.Kutosikia ladha au harufu 5. Kutokwa vipele...
  8. H

    Ukweli kuhusu faida ya chanjo kwa ujumla wake

    Kwanini nyie wapinga chanjo mnataka hata sisi ambao ni wajibu wetu ni kuelimisha jamii kuhusu masuala ya afya tunyamaze?. Tutaendelea kutoa elimu ili jamii ifanye maamuzi yoyote huku ikiwa na elimu sahihi.
  9. H

    Ukweli kuhusu faida ya chanjo kwa ujumla wake

    Nadhani madai yako ni irrelevant na hayana faida yoyote kwa jamii hasa kwa hali inayoendelea sasa ya ugonjwa wa UVIKO-19
  10. H

    Ukweli kuhusu faida ya chanjo kwa ujumla wake

    Most common symptoms: fever dry cough tiredness Less common symptoms: aches and pains sore throat diarrhoea conjunctivitis headache loss of taste or smell a rash on skin, or discolouration of fingers or toes Serious symptoms: difficulty breathing or shortness of breath chest pain...
  11. H

    Faida ya chanjo kwa ujumla wake

    Upotoshaji mkubwa kuhusu chanjo ya COVID-19 unaonyesha jinsi jamii ilivyo na uelewa mdogo kuhusu chanjo zote kwa ujumla. Hii jamii isiyojua pia inapotoshwa na wenzao wasiojua. Unakuta mtu ame google na kusikiliza clip za wasiojua wenzake sasa anadhani anajua kuliko wenye taaluma yao ya chanjo...
Back
Top Bottom