Recent content by hdhd

  1. H

    Msaada: Nimetekwa China

    Sijaelewa hata kidogo sasa tukusaidie nn wakat hutujui umefanya nn?
  2. H

    Msaada Nipo Nje ya Inchi.

    Mm nakushaur usiendelee kukaa bila kibal fanya juu chini uende ubalozi then useme ukwel usidanganye utapata msaada maana kidiplomaisa we cool with sa
  3. H

    Msaada Nipo Nje ya Inchi.

    Duuh yaan jamaaa kaomba msaada wa kimawazo ili ajue la kufanya na ameleta humu akijua Kuna watu wanaweza mpa mawazo lkn naona anapondwa tyuuu sio fresh matatizo yanatokeaga tyuu apewe msaada kwa anayejua bana
  4. H

    Hakimu Willbard Mashauri ni nani? Kwanini aligoma kujitoa kwenye kesi ya viongozi wa CHADEMA? Amelenga nini ?

    Alaf najiuliza swal moja hiv inamaana itkila wafanyalo upinzan ni kinyume na sheriaaa?
  5. H

    Fatma Karume: Rais Hana Mamlaka Kuwatumia Jeshi kufanya lolote atakalo bali Kulinda nchi kwenye vita na kuokoa maisha na mali ya watu

    Hyo ibara imempa amiri jesh mkuu mamlaka ya kuamuru majesh kwa mamb atakayoona yanafaa hapa katiba inamlinda amir jesh mkuuu
  6. H

    Jeshi letu linatumika vibaya

    Fikiria bas hata kidogooo
Back
Top Bottom