Kama itawapendeza nawaomba viongozi wa Dini zote, badala ya kufanya Dua/maombi ya kuliombea Taifa na viongozi wake, wafanye Dua/maombi maalumu ya kitaifa ya kuomba kuzifungua aliki za Watanganyika ili mapepo na majinamizi ya uccm yawatoke na akili ziwafunguke kutoka kwenye fikra za uccm...
Hatukatai alitengeneza vijana wengi pamoja na wewe, lakini haikuwa kwa maslahi mapana ya Taifa bali kwa maslahi yake,familia yakena wana mtandao wenzake.Amka ww Acha kuwa zuzu.
Hahaha!! Et mama yeke alishika nyazifa mbalibali, nyazifa zipi hizo zilizonwezesha kumpa mshahara wa kimwezesha hyo kijana kununua gari la 1.2b Kama sio upigaji wa Kodi zetu. Kama ni ukwa mrefu angekuwa nao mzee wasira , Tangu kipindi cha Nyerere hadi leo yupo anapiga dolari lakini bado...
Nasubiria report ya CAG. Shirika limepata faida kiasi gani. Wakitoka Morogoro wasafirishwe tena kwenda Dodoma, bi kizimkazi atakuwepo pala machinga Complex ya Dodoma. Sijui Kama Abdul atakuwepo .
Eti...!! Kesi ya uhaini, Kama uhaini mbona instsfutiwa mashahidi wa mchongo,ushaidi wa gizani. Mwambie hyo mgombea wenu wa mchongo Lisu is more than hyo prezdada asiyejiamin wala kyjmbua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.