mnapost tuu ad uongo..ww hai ip au boma ip unaijua?? au n ile kngereka yenye vjccm vchache?shame upon you!!itifiki izngatiwe makamanda tunalinda..;;bora majshngo kulko majpua?!!!f.**"""*off sham upon u na uongo wako
ww upinzani upi unautaka zaidi ya huu uliopo kuing'oa ccm??ule wa dr ata tungekomaa nao miaka 50 ijayo hatungeing'oa ccm!!!MIMI SITAKI KUJUA NANI MWIZI NANI MSAFI CCM IONDOKE!!! ,...hamna aja yakujifinya unafikiri sanaa!!coz ww unayejfanya leo una reasoning sana kuhusu upinzan hujamzidi mbatia...
nmependa ayo majibu coz nahisi aliyeuliza swali amejvua ufahamu ukimjbu kiufahamu utakua hayawani!!!!!!!mfn iv kwel leo unaweza ukamuongelea dr slaa wakat ashasema yy sIO mwanachamawa chama chochote?(au unatafuta historia ya dr slaa??!!!chadema hawaangaiki na hstoria zakizembe wanafocus kuweka...
af mbona kuna washauri uku ndani et msilinde kura??f****ckoff uyo muuwaji ndo nan ksa nmelinda kura yang????lol kituoni siondoki mpaka kieleweke...;;leo ndo manakua washauri wakipuuzi eti kapumzikeni nyumban!!?nyumba ipi ulonijengea yakupumzka?kituoni mpaka npate nlchofuata kama n kifo sawa...
n kwel bt mpaka sasa naamin usha reasoning ktu....apo kwa kura hujajiuliza kwa nn wanakutaka uende nyumban?(wanakiuka sheria?) ...tatzo liko wwukikaaa kituon kusubiri matokeo?mbona kujiandksha tulkesha vituon?.,.
apa mwshon utasikia vmbwerekezo vingi sana ...kelele za mfwa maji ztakua izo
iv n sahihi kumsemea kwa utetezi mtu aliyeko??wanaosema yupo wako sahh..wanaosema hayupo wako sahh zaid..kwa uma?!!mkuu akijitokeza na kusema kwa mdomo wako utata huo utaisha mtandaon na kwa uma kwa ujumla
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.