Recent content by Hazaa

  1. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ofisi imemchagua mke wa rafiki yangu aende training Marekani mwaka mmoja. Jamaa yangu yupo njia panda

    Kama Wamechokana amruhusu aende, ila kama anampenda mke wake Fursa hata huku bongo zipo nyingi. Apige chini hilo wazo la safari
  2. H

    JamiiForums Tanzania Watu 30 wamekamatwa kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kujaribu kujipatia pesa za NSSF

    Pesa ni Zao, wanazitaka nyie mnazing'ang'ania. Alafu Mnajisifia eti mmekamata Wahalifu. Subirini na nyie siku mkitoka makazini nawaombea Kwa Mungu muzipate hela zenu kwa Shida ili muyaonje machungu yao.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sumve, Kasalali Kasalali Mageni: Mawaziri wanatupa ahadi hewa tu, Wananchi wa Sumve hatuna lami hata Mita moja

    Mwanza hatuna wabunge, Wamekaa tu wanajali maslahi yao. Barabara ya Kitangiri kwenda Mihama inahitaji Lami, ni mbovu haina mfano. Mvua zikinyesha tu haipitiki na ni mjini Kabisa.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima, kuna haki za watoto zinakiukwa wazi wazi. Hatua za kuwanusuru zinahitajika

    Serikali iandae Kambi Maalum za Ombaomba, ambazo zitakuwa kama Gereza. Yawepo majengo ya Shule kwa watoto kuanzia Darasa la kwanza mpaka Form Four. Wale Omba Omba watu wazima wapelekwe kwenye mashamba ya Serikali walime, wafuge, na pia wapewe ufundi Stadi na kutengeneza bidhaa kwa nembo ya...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Leo Novemba 19, ni Siku ya Choo Duniani

    Kwa hiyo Leo ni Siku ya Wanaume Duniani na pia Leo ni Siku ya Choo Duniani???!!!
  6. H

    JamiiForums Tanzania Novemba 19, 2023: Siku ya Kimataifa ya Wanaume, una ujumbe gani kwao leo?

    Ujumbe wangu ni kuwa Mwanaume Kamili hajihusishi na upuuzi kama huu wa Kuadhimisha siku kama hizi.
  7. H

    JamiiForums Tanzania TTCL Dodoma mnaihujumu Serikali na kukwamisha maendeleo ya wananchi

    Hata mimi nilienda kujiandikisha ofisi zao za Mwanza mwezi wa 8 ili kupata huduma hiyo ya Fiber mlangoni, wakasema hawawezi kuniandikisha kwa sababu hakuna vifaa na waliojiandikisha bado ni wengi.
Back
Top Bottom