Recent content by Hawks

  1. Hawks

    JamiiForums Ushauri wenu waitajika waku

    Kila kitu nimemuonyesha ila msimamo wake hujabadilika sbb mimi nimefunga nay ndoa nikamsafirisha had akaja akanikuta nilipo yote hiyo nimemuonyeshaa , ila haoni cocote,, na sasa hivi hata jama alie kubali kunifanyia connection huko nayy ame anza kulaumiwa hadi amenipa last chance niongee na...
  2. Hawks

    JamiiForums Ushauri wenu waitajika waku

    Habar zenu waku kwa mara yingine naomba ushaur wenu sbb nawakubal watu wa JF pongez kwa hilo,,, kiufup ni kwamba mimi ni kijana mwenye 30 na nimeoa nina mke na mtoto 1,, wa mwaka,, jambo ni hivi mimi sipo inchini nina mda kabsa sipo nchini na yote hi ni sbb ya kutafta riziki,, nipo na mke wang...
  3. Hawks

    JamiiForums Ushauri: Mke wangu kanikasirikia anadai hapendwi na ndugu zangu

    mbona kila kitu nimewka wazi hapo!kwamba mtoto ana kashfiwa ana pua kubwa wife anaposkia habar hizo na wanapo ongea hivo vina muuma ila sista walikua wanaongea hivo nikawa nimewa stop ivi wameka kimya yey wife anacowaza ni kwamba wanapo towa kasha kwa mtoto mama ak hawampend mtoto wetu soo hapo...
  4. Hawks

    JamiiForums Ushauri: Mke wangu kanikasirikia anadai hapendwi na ndugu zangu

    am 100%sure fo that ma brada!!
  5. Hawks

    JamiiForums Ushauri: Mke wangu kanikasirikia anadai hapendwi na ndugu zangu

    wamemuona kama hata hivo unavo muona kweny avatar hapo sbb mimi sipo inchini mkuu!!kitambo toka 2012
  6. Hawks

    JamiiForums Ushauri: Mke wangu kanikasirikia anadai hapendwi na ndugu zangu

    tume amrishwa kuwapenda wazazi sio khiari mkuu!!upende usipendi lazma mzazi umpende !!!
  7. Hawks

    JamiiForums Ushauri: Mke wangu kanikasirikia anadai hapendwi na ndugu zangu

    nafanya utaratibu in sh Allah nitakuja mwakan !!
  8. Hawks

    JamiiForums Ushauri: Mke wangu kanikasirikia anadai hapendwi na ndugu zangu

    [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] liache jembe langu !!
  9. Hawks

    JamiiForums Ushauri: Mke wangu kanikasirikia anadai hapendwi na ndugu zangu

    nilimuambia apotezey ila bado anacukulia serious ,,kashfa yenyew ni kwamba wanadai mtoto ana puwa likubwa eti sbb eti kwamba uko wetu hmna mwenye puwa likubwa ila naona ni sbb wanamuona kweny pica tuuu sbb mimi naona dogo ni handsome kama mimi baba ake!!so wife anaposkia kashfa hizo zinamuuma...
  10. Hawks

    JamiiForums Ushauri: Mke wangu kanikasirikia anadai hapendwi na ndugu zangu

    In brief:nikwamba nilipo pata mtoto kulikuweko kshfa flani zikitoka kwa famia yang ila mimi nikua nacukulia kama utan flan ila wife alikua yupo serious nazo kabsa soo nikajthd kuwakomesha kabsa zikawa zimeisha ila juzi nipo kua naongea na mama yqng mzaz ilibd mama ka gusia ile topic yq kashfa...
  11. Hawks

    JamiiForums Ushauri: Mke wangu kanikasirikia anadai hapendwi na ndugu zangu

    Habari za sa izi ndugu zangu, Mimi kama mnavoona hapo ni mwana jamvi mpya ila kitambo nilikua naifatilia JF ila bado nilikua sijawa mwana memba rasmi kwasababu flani flani vile. Kiufupi mimi ni kijana mwenye miaka 31 nimeoa na mtoto mmoja wa kiume, mimi kuna mambo fulani nahitaji msaada wenu...
Back
Top Bottom