Recent content by HAULEZ

  1. H

    Dawa ya huzuni na wasiwasi kukumbatiwa na mpenzi wako kwa sekunde 20 tu

    Wasiwasi ni wasiwasi.mbona unakuwa mtata
  2. H

    CHADEMA na CCM: Nani anajua kutumia pesa za kodi ili kujenga nchi yetu?

    Ccm ni kundi la matajiri.kufikiri.kutenda kwao ni kitajiri si kimaskini wala kilala hoi ndio maana wapo tayari kuwatoa meno na macho wale wanaotaka kutetea walala hoi
  3. H

    mpenz wangu analalamika ninavyosex nae.

    Mkoboe zaidi mpaka akujue we ni kidume.ila we nnoma
  4. H

    kupunguza unene kwa muda wa siku 14

    Sikushauri ila fanya mazoezi ya kutembea zaidi kwa miguu na kukimbia na punguza chips na vitu vya mafuta
  5. H

    Majibu ya dna yanasema sio sahihi mpaka wapime wazazi wote wawili

    Kisheria zaidi ni muhimu kwenda wote kama inavyoshauriwa klinik siku hz
  6. H

    Majibu ya dna yanasema sio sahihi mpaka wapime wazazi wote wawili

    Ni kweli kwani mtoto huzaliwa na mke baada ya kurutubishwa na baba
  7. H

    "Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

    Tangu lini ikaendeshw imekuwa gari.nyie hizo ofisi pamoja na viwanja mmetupora wananchi.na bado mwapora rasilimali zaidi na kupeleka nje ya nchi.lakn mwisho wenu unakuja kama dola ya Rumi
  8. H

    "Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

    Ni aibu kijana kutumia nguvu na akili yako kupinga ukweli na mabadiliko.iwapo umsomi unareason hivyo inasikitisha.kwani wazee wakati anaikomboa aliungwa mkono na wazee tu ambao walimtambika kwakuwajali wazalendo.lakini wewe na wanazi wenzio mnapotosha umma kwakuwakinga mabeberu mpore mali ya...
Back
Top Bottom