Recent content by hatym

  1. hatym

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Imarisha afya yako ukiwa nyumban na mashine za mazoezi

    Evere Treadmill 140kg bonyeza hapa kutazama sifa zaidi ya mashine hii
  2. hatym

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Imarisha afya yako ukiwa nyumban na mashine za mazoezi

    Hii ni kwa dar es salaam mkuu, mikoani bado hatujaanza huo utaratibu , mikoani tunatuma moja kwa moja kupitia mabasi na magari ya mizigo kuja mkoa husika
  3. hatym

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Imarisha afya yako ukiwa nyumban na mashine za mazoezi

    Hii inabeba mpaka kilo 140kg Ina muongezeko wa vitu vya ziada kama massager kwa ajili ya kutibu maumivu ya misuli na uchovu, ina sit up lock kwa ajili ya kufanya mazoezi ya tumbo, ina spring maalum kuondoa maumivu ya miguu , na dumbell za kukimbilia, bila kusahau waist twist kukusaidia kuondoa...
  4. hatym

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Imarisha afya yako ukiwa nyumban na mashine za mazoezi

    ubusy wa kazi unafanya tusahau sana afya zetu,foleni barabarani unafika nyumban muda umeenda na unashindwa kutoka na kwenda gym au kukimbia barabaran, lakini vipi ukiwa na mashine ya kukimbia nyumban kwako na ukatumia dakika 25 mpaka 45 jioni au asubuhi kabla ya kutoka? Utakuwa umefanya...
  5. hatym

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mazingira hutujenga, mazingira yakipendeza na sisi huvutia zaidi

    Tunafanya makazi kuitwa nyumbani[emoji3] Pendeza makazi yako, ofisi yako na Emperor wallpaper bora kabisa kutoka kwetu Wallpaper imara na zenye kudumu Utazipata roller kwa tsh 75,000 tu Roller 1 urefu ni 9M na upana ni 0.54M Tupigie leo 0758728258 0718327776
  6. hatym

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ninauza selcom mashine

    Nasubiri ajibu niko interested pia
  7. hatym

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    hana hypersonic missile chief bado yupo kwenye majaribio, mataifa pekee yaliyo approved kuwa na hypersonic ni russia na china tu.
  8. hatym

    JamiiForums Tanzania Epuka maradhi Nyemelezi kwa kubadili Mfumo wa Maisha

    karibu sana Boss
  9. hatym

    JamiiForums Tanzania Epuka maradhi Nyemelezi kwa kubadili Mfumo wa Maisha

    tuko pamoja mkuu
  10. hatym

    JamiiForums Tanzania Epuka maradhi Nyemelezi kwa kubadili Mfumo wa Maisha

    Mtindo wa maisha umekuwa chanzo kikubwa katika kusababisha magonjwa kwetu, ubusy wa kazi na urahisi wa maisha umefanya binadamu miili yetu kuwajibika kwa uchache sana, magonjwa kama kisukari na presha yamekuwa makubwa na yanachukua mpaka vijana wadogo kulingana na ubusy wa kazi na umbali mtu...
  11. hatym

    JamiiForums Tanzania Binti mtoro wa shule baba yake alimfunza funzo wala si kwa fimbo

    kwa siku ya kwanza ni sawa amefanikisha lakini kaacha damage kwenye maisha ya mtoto (physocologically) kwani itamfanya ataniwe kila siku na inaweza sababisha agome kwenda shule mazima.
  12. hatym

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Je, unahitaji spare za BMW 3 series?

    Pata spare unazohitaji, gari imepata ajali na vitu vyote vinauzwa kama spare, engine imeshanunuliwa, vingine vyote bado vipo angalia kitachokufaa kilichoharibika katika gari lako. Mawasiliano: 0758728258
  13. hatym

    JamiiForums Tanzania Roho inauma, nimetimuliwa nyumbani kwa fedheha

    utavuna ulichopanda , kwa haya kakaako alipaswa kukupiga makofi mengi sana kabla ya kukutimua.
  14. hatym

    JamiiForums Tanzania Nini ufanye unapohisi mwili una mabadiliko?

    huo hatuna kwa sasa mkuu
  15. hatym

    JamiiForums Tanzania Nini ufanye unapohisi mwili una mabadiliko?

    tunatuma mikoa yote boss, karibu sana
Back
Top Bottom