eneo la ekari moja tutali nunua kwa shilingi laki nnne 400,000/= ekari kumi tuta nunua milion nne 4,000,000/= tutalima ekari moja kwa shilingi elfu thelasini 30,000/= ekari kumi lakitatu 300,000/ kilimo cha pili lakisita 600,000/= kupalilia ekari moja elfu ishirini ekari kumi laki mbili jumla...