Recent content by hasskis07

  1. hasskis07

    Matukio na vituko ulivyokutana navyo kwa waganga wa kienyeji

    Kwa kuwa ulimuacha Mungu ,haya lazima yakukute TU,Simama na Mungu wako TU
  2. hasskis07

    Mtoto mchanga ameokotwa Madale

    Allah amjalie UMRI MREFU
  3. hasskis07

    Mpaka miaka 45 huna vitu hivi jua wewe umekuja kusindikiza wenzio duniani

    Kuna ukweli lakini kwa nafasi NDOGO Sana , kupata ni majaliwa ya Allah, kupata hakuna UMRI Wala kupata sio JUHUDI Wala UJANJA ni NEEMA tu
  4. hasskis07

    Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

    Ahsante Sana kwa UKUMBUSHO huu ni HATARI SANA hasa ukiwa PEKE yako.
  5. hasskis07

    Rais Samia apokelewa Kifalme China

    Tunahitaji dunia zaidi ya wao wanavyotuhitaji, acheni nchi ifunguke, hakuna Taifa linalojitegemea lenyewe ,sharti lishirikiane na dunia nzima, tuwe SUBRA wakati chakula kinaandaliwa.
  6. hasskis07

    Kwanini vitu vyangu vinapotea katika mazingira ya ajabu?

    Kaa utafakari kwa kina ulivipataje ?njia halali au njia haramu ?ukigundua JIULIZE pia,kabla ya kuvipata uliweka nadhiri(AHADI KWA MUNGU) ya aina yoyote ya sadaka au shukurani na je ulitimiza? Huenda kuna jambo UMESAHAU mkuu
  7. hasskis07

    TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

    Inna LILLAH RAJIUN, mbele YETU NYUMA yake,apumzike KWA AMANI MWL Kashasha
  8. hasskis07

    Ni huyu huyu Makonda ninayemjua au macho yangu?

    Katika Maisha ,usisahau MUDA ,HAKUNA kitu kinachoweza kukuadhiri katika DUNIA HII KAMA MUDA.
  9. hasskis07

    Huyu ni Miongoni mwa Waasisi wa MAGEUZI TANZANIA

    Prof. Kigoma Ali Malima Sent using Jamii Forums mobile app
  10. hasskis07

    Nilitaka kujiua baada ya kumpoteza msichana nimpendae

    Ungekufa kibudu buree Sent using Jamii Forums mobile app
  11. hasskis07

    Chanjo ya Corona kufanyikia majaribio Afrika

    Dunia inaelekea pabaya zaidi, sipati picha juu ya hili, kwa nini iwe Afrika ? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. hasskis07

    Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake

    Mama apumzike kwa amani, Mungu mwenye uwezo ya kuamua, kumiliki na kutenda Kila Jambo ampokee mama na ampe pumziko Jema, "inna lillah rajiun" Hakuna kiumbe mwenye mkataba na MUNGU JUU YA MAISHA HAPA DUNIANI, ALLAH PEKEE ANAJUA WAPI, LINI, KWA SABABU GANI. R. I. P Mama ERIC Sent using Jamii...
Back
Top Bottom