Search results

  1. hasskis07

    Matukio na vituko ulivyokutana navyo kwa waganga wa kienyeji

    Kwa kuwa ulimuacha Mungu ,haya lazima yakukute TU,Simama na Mungu wako TU
  2. hasskis07

    Mtoto mchanga ameokotwa Madale

    Allah amjalie UMRI MREFU
  3. hasskis07

    Mpaka miaka 45 huna vitu hivi jua wewe umekuja kusindikiza wenzio duniani

    Kuna ukweli lakini kwa nafasi NDOGO Sana , kupata ni majaliwa ya Allah, kupata hakuna UMRI Wala kupata sio JUHUDI Wala UJANJA ni NEEMA tu
  4. hasskis07

    Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

    Ahsante Sana kwa UKUMBUSHO huu ni HATARI SANA hasa ukiwa PEKE yako.
  5. hasskis07

    Rais Samia apokelewa Kifalme China

    Tunahitaji dunia zaidi ya wao wanavyotuhitaji, acheni nchi ifunguke, hakuna Taifa linalojitegemea lenyewe ,sharti lishirikiane na dunia nzima, tuwe SUBRA wakati chakula kinaandaliwa.
  6. hasskis07

    Kwanini vitu vyangu vinapotea katika mazingira ya ajabu?

    Kaa utafakari kwa kina ulivipataje ?njia halali au njia haramu ?ukigundua JIULIZE pia,kabla ya kuvipata uliweka nadhiri(AHADI KWA MUNGU) ya aina yoyote ya sadaka au shukurani na je ulitimiza? Huenda kuna jambo UMESAHAU mkuu
  7. hasskis07

    TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

    Inna LILLAH RAJIUN, mbele YETU NYUMA yake,apumzike KWA AMANI MWL Kashasha
  8. hasskis07

    Ni huyu huyu Makonda ninayemjua au macho yangu?

    Katika Maisha ,usisahau MUDA ,HAKUNA kitu kinachoweza kukuadhiri katika DUNIA HII KAMA MUDA.
  9. hasskis07

    Huyu ni Miongoni mwa Waasisi wa MAGEUZI TANZANIA

    Prof. Kigoma Ali Malima Sent using Jamii Forums mobile app
  10. hasskis07

    Nilitaka kujiua baada ya kumpoteza msichana nimpendae

    Ungekufa kibudu buree Sent using Jamii Forums mobile app
  11. hasskis07

    Chanjo ya Corona kufanyikia majaribio Afrika

    Dunia inaelekea pabaya zaidi, sipati picha juu ya hili, kwa nini iwe Afrika ? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. hasskis07

    Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake

    Mama apumzike kwa amani, Mungu mwenye uwezo ya kuamua, kumiliki na kutenda Kila Jambo ampokee mama na ampe pumziko Jema, "inna lillah rajiun" Hakuna kiumbe mwenye mkataba na MUNGU JUU YA MAISHA HAPA DUNIANI, ALLAH PEKEE ANAJUA WAPI, LINI, KWA SABABU GANI. R. I. P Mama ERIC Sent using Jamii...
  13. hasskis07

    Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

    Miongoni mwa sifa kuu za Mungu ni 1. kutoelekezwa Jambo, 2.kuwa na maamizi yake, 3.kutoa na kutwaa, 4.kuwa pekee, 5.kutofananishwa na chochote, 6.mkarimu, 7.mkali anapostahili kuwa mkali 8.kutowaonea binadamu, 9.kuwa mtulivu na mvumilivu 10.kutenda kwa Siri na kuitunza Siri. 11.kujua Kila...
  14. hasskis07

    Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini

    Tuzidi kuwatakia kila Jema "ballot is stronger than bullets " Sent using Jamii Forums mobile app
  15. hasskis07

    09 Dec, 2019: Maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

    Ndugu zangu Watanzania, TUJUE SISI NI TAIFA, SISI NI WAMOJA KABLA YA VYAMA. TUACHE KUJITENGA KTK MASUALA YA MSINGI AMBAYO AKILI YAKO AU YANGU INAJUA HATA LEO UKISHINDA NAFASI YA RAIS WA TANZANIA CHAMA CHAKO HAKIWEZI KUONDOA KITU HICHO. MFANO WA MACHACHE HAYO NI BENDERA YETU, NEMBO YETU, WIMBO...
  16. hasskis07

    RC Chalamila aiomba Mahakama kuwafunga miaka mingi wanafunzi waliochoma shule. Wazazi wao wakitaka kuwadhamini nao wafungwe jela

    Viongozi wapunguze jazba,watanzania wana changamoto nyingi SANA, hata makosa mengine yanatokea yakisababishwa na kutokufahamu kwao na njaa
  17. hasskis07

    Zitto achana na Putin, Kagame, El-Sisi na Erdogan; watakumaliza mapema tu!

    ndugu, unasahau Mapema Mbona, ANAYETOA UHAI IN JIBRIIL KWA AMRI YA MUNGU TU, NA UHAI UNA MUDA WAKE MAALUM, UKIFIKA HAUNA UJANJA, USIWASEMEE VIBAYA HAO viongozi ,HUYO "mtoaji wa ROHO JIBRIIL,ANAPOKEA AMRI MOJA TU YA ALLAH, HUYU SIFA ZAKE NI HATARI, HALI, HANYWI, HANA MSAIDIZI ,SI MWANAMKE WALA SI...
Back
Top Bottom