Habari ndugu zangu wa forum kwa majina naitwa Hassan nina gari zangu mbili aina ya Toyota Vellfire nina kodisha kwenye shughuri mbali mbali ndani na nje ya Dar es salaam hususa ni kwenye makampuni na sekta binafsi na taasisi
gari zangu zipo kwenye hali nzuri na ni very luxury hazina...
Habari,
Wadau Kwa majina naitwa Hassan Mohamed naishi Yombo Vituka, temeke ninatafuta gari ya hesabu au mkataba ya Uber na Bolt Kwa yeyote mwenye uhitaji na dereva nipo tayari muda na saa yeyote napatikana Kwa nambari za simu zifuatazo: 0782639687
Habari za majukumu wana jamii forums,
Natafuta gari ya uber hesabu nina account zote mbili kwa atakae hitaji dereva nipo tayari nina uzoefu miaka mitatu napatikana kwa namba 0752583393
Habari za majukumu ndugu zangu kwa majina naitwa hassan mohamed manzi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naishi daresalaam temeke ninatafuta kazi ya udereva ikiwemo kumuendesha mtu binafsi daladala, gari ya kampuni kwa yeyote mwenye kuhitaji dereva nipo tayari napatikana kwa namba zifuatazo...
Habari za majukumu, viongozi kwa majina Naitwa Hassan Mohammed, ninatafuta gari ya Uber hesabu kwa wiki nitaleta 150000 Nina uzoefu wa kutosha Nina active Account Nina umri miaka 25 ni mtunzaji mzuri wa gari kwa yoyote atakaekuwa tayari anitafute kwenye namba hii 0752583393 natumai nitasaidiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.