Recent content by Hassani Iddi

  1. H

    Ushauri kuhusu mtoto kufariki tumboni kwa mama

    Mantiki ya swali langu kwanza nikujua hali ya mjamzito pindi mtoto anapofia tumboni na bado hajatoka,,natak kujua tumbo lake linabakia vilevile ama linapungua,,huwa ni mzima kbsa ay huisi maumivu sehem mbali mbali za mwili wake Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    Ushauri kuhusu mtoto kufariki tumboni kwa mama

    Asante sna mkuu kwa kunipa moyo nitku pm mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    Ushauri kuhusu mtoto kufariki tumboni kwa mama

    Habari wakuu, ninatatzo limenipata naomben nijue tafadhli,,mke wangu alikuwa na mimba ya miezi 6na wiki 2,maendeleo ya mimb na mama ylikuwa mazuri,lkn siku mbili nyuma alikuwa akilalamika maumivu ya tumbo na alipoenda hosptl aliambiwa mtoto amefariki tumboni,,lkn walipomchukua vipomo ilikujua...
  4. H

    Ushahidi juu ya Aliens wazidi kufichuka: Uwanja mkubwa wa Ndege za Anunnaki wagunduliwa Lebanon. Umejengwa kwa matofali yenye uzito wa tani 1,600

    Mkuu hao jmaa wapo na inasemekana kiimani hao jmaa ndio walio sababisha mungu kuleta garika ktika enzi za nabii Nuh (a.s) kwakuwa hao jmaa inasmekana walikuwa ni malaika na walitumwa na mungu kuja dunia kuanglia binaadam na walipofika walijichanganya na binadamu na kwakuwa kila mmoja alikuwa na...
  5. H

    A living reincarnation, rebirth..!

    Pamoja sana mkuu
  6. H

    A living reincarnation, rebirth..!

    Hapana Mkuu sina tatizo hilo kabisa,ila nikianz TU meditation eneo la paji lauso linauma sana
  7. H

    A living reincarnation, rebirth..!

    Mkuu mshana..Mara nyingi Mimi nikijaribu kufnya meditation sehem ya paji la uso inaniuma sana na naamua kucha na inapelekea kichwa kuuma siku nzima, INA maan gani hii...napia mara nyingi huw nikihisi kitu huwa kinatokea kweli iko vipi pia na hii.
  8. H

    Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Habari Mkuu..nimefatilia Uzi wako uko vzr sana,,na hata hivyo Jana nilianza kufnya meditation kama dakika kadhaa hivi nikaanza kuona mambo niliyofny asbh yake pamoja na siku zilizopita pia nikaanza kuhis uzito ktk paji la USO Mkuu,nikaamua kufumbua macho nakuacha. Baada ya hapo nilianza kuona...
  9. H

    MSAADA WAKUU

    Habari wakuu.. Mimi nilihitimu Kidato cha NNE 2013 nikapta history B..Kiswahili C English D,,Civics D,,Geography D.Math F Bio F. Katika kozi ya Sheria,,Saikolojia na Diplomasia IPI ambayo ni nzuri nayoweza kusomea? Nisaidien wakuu
Back
Top Bottom