Recent content by hassan yahaya

  1. H

    SoC04 Education that we need

    The current employment-based education system in Tanzania has led to a lack of self-reliance and innovation among the population. This writingl outlines a comprehensive plan to transition from an employment-based education system to a self-reliance education system, focusing on fostering...
  2. H

    Wanafunzi masikini tusijisahau vyuoni na kuishi kitajiri

    laa..! si hivyo ila wasiishi kistaa mfano kwenda club au viwanja vya starehe kutumia matumiz makubwa mfano unamkuta mtu anatumia cm ya laki saba au milion moja hali ya kuwa kwao hali ni dhoofu sana japo kuwa vitu vya bai ya kawaida na vinafaa vipo bali ananunua kwasababu ya show off
  3. H

    SoC03 Watanzania tuache kupotoshana kuhusu Serikali yetu

    Kupotosha ni kitendo cha mtu kutoa taarifa au kuzungumza kitu katika hali isiyo sahihi na kupelekea wanaomsikiliza kukosa uhalisia wa jambo. Leo hii nchini Tanzania kumezuka tabia hii ya upotoshaji katika mambo mbalimbali ikiwemo mambo ya utawala wa serikali. Kutokana na kuwepo kwa upinzani...
  4. H

    SoC03 Wanaume taharuki suala la nguvu za kiume na maumbile madogo

    wanaume tunawaza jinsi ya kuwalizisha wake zetu tunawaza na kutafuta pesa na mambo mengine ndomana tunakufa mapema
  5. H

    SoC03 Wanaume taharuki suala la nguvu za kiume na maumbile madogo

    hii ni hatar alaf anataka na yule wa mwisho kufanya nae amridhishe
  6. H

    SoC03 Wanaume taharuki suala la nguvu za kiume na maumbile madogo

    nimeaanisha kiwango cha juu cha ukubwa wa maumbile
  7. H

    SoC03 Wanaume taharuki suala la nguvu za kiume na maumbile madogo

    wanaume wenzangu njoeni tujadili hili suala hata wanawake pia mnaruhusiwa maana haya mambo yanaoneka wanawake ndio wanaonekana hawaridhishwi kwahiyo njoen tujadili tuwekane sawa kila mmoja afahamu
  8. H

    SoC03 Wanaume taharuki suala la nguvu za kiume na maumbile madogo

    ni changamoto kubwa sana na elimu inatakiwa itolewe kama itawezekana kuwe na vipindi maalumu kupitia channel za televisheni ili jamii ipate kujua ukweli wa haya mambo
  9. H

    SoC03 Wanaume taharuki suala la nguvu za kiume na maumbile madogo

    ukubwa ule wa asili hauna tatizo ila tatizo lipo kwa wanaoongeza ukubwa kwa kutumia madawa na mbinu zingine kwani husababisha madhara, lakini pia kwa asili maumbile hayawezi kuathiri na hayawezi kuzidi ule kubwa wa juu
Back
Top Bottom