Kama unaogopa kuzitumia niruxhi kwenye m-pex 0762226409 nina xhida na mkwanja niazixhe mtaji fanya hivyo fasta nitakuto ya chai nenda sasa hivi ukazitume kupitia atm maxhine kujakwangu xawa nina shida ata laki 6 weni2mie tu
Tumia Bana Lakini mke wajomba akutaki ukaeapo ndo mtego wamekuandalia
dege mjinga unaswa na Tundu bovu
xaxa kama we mjanja 2mia
kama mjinga utanaswa na mjomba
kosa 1 mapoli 10 Mbona Wengine a2yapati mm mwenyewe likizo naenda kwa xhangazi lakini mtoto washangazi animaindi xiitoke...
Kumsichana nampenda sana kwetu wamekubali wesema nimuoe lakini nikimwambia nimuoe anakataa anasema awezikuolewa na mimi kwa sababuananizidi. (ananizidi miaka mitatu) lakini nampenda sana anaitwa suzy nae anasema akuna mvana anaempenda tofauti na mimi. Je nifanye nini na nina mpenda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.