Wadau wa page hii ifike pahala tuache unafiki na kuongelea vitu ambavyo havina uthibitisho. Huyu Dogo Diamond au Nasibu ukweli kazi yake inakubalika na hakuna asiejua kama Nasibu anapendwa. Sioni sababu ya kumuhusisha kazi yake ya muziki na biashara zingine.Kwa wale watu ambao wamepata bahati ya...
Matukio ya unyanganyi wa fedha kwa kutumia silaha wakati wa mchana kwa sasa katika jiji la Dar es salaam yamekuwa ni mengi sana. Kinachowafanya watu hawa kutumia usafiri wa pikipiki ni kutafuta wepesi wa kukimbia na kupenya hata vichochoroni kwa urahisi ili wasiweze kukamatwa. Lakini pia...
Achana na dalili kaka nenda kapime tu......afu siku hizi ukimwi watu wanapima kama mimba tu....kanunue HIV test....unajitoboa kimtindo kidoleni baada ya dk kama saba hivi utajielewa.
Hivi wewe unadhani Jamii Forum ni ukurasa wa wapumbavu. Una elimu gani kuhusu taratibu za urukaji wa ndege za jeshi? Kuona ndege za jeshi zinaruka unakurupuka eti mafuta kodi ya wananchi inatumika vibaya. Unajua hiyo ndege imenunuliwa na kodi hiyohiyo ya wananchi au kwa upeo wako mdogo ukajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.